WatsApp for java phones

The Dude

JF-Expert Member
Sep 14, 2011
1,029
453
Heshima kwenu wataalam,
Mimi nimekuwa nikijaribu in vain muda wote kudownload watsapp application kwa simu yangu LG X330T..nikaambiwa eti watsapp haikubali kwa simu za java.

Je,hadi sasa bado?Na kuna namna yoyote naweza kufanya nipate hiyo watsapp maana nna hamu nayo mpaka naumwa!
Akhsanteni
 
whatsapp ni real time chat app. Inahitaji simu yenye processor kubwa na memory ya kutosha, most of low end na medium end java phones hazina minimum specs za whatsapp na app kama iyo. Ndo maana whatsapp ikawa mahsusi kwa android phones, blackberry, iphone, na high end phones kama nokia x2, asha etc!
 
nokia x2? Duh! Kwa nnavyojua mm n kwenye nokia labda symbias 60 kama nokia 6120 clasic, n seriez kama n 70, n71, n 72, n 73 na kuendelea mpaka nokia e seriez. Ila kwenye cmu ya uwongo kama x2? I dont think so mayb kama ina version tofauti.
 
:coffee:
 
Kwa x2 na x3 inafanya kaz ila kwa shda yan huienjoy mara ina freeze, mara simu inazidiwa. Whatsapp tamu kwa e series yan inakuwa as if ni part ya apps znazo kuja na simu
 
Kazi yake hasa ni nini

ni instatnt messaging application, iko mfano wa bberry messanger . Yenyewe unachat na watu wenye whatsapp ambao wako kwenye phonebook yako unaweza tuma audio, video pics yani ni nzuri sana.
 
Kwa x2 na x3 inafanya kaz ila kwa shda yan huienjoy mara ina freeze, mara simu inazidiwa. Whatsapp tamu kwa e series yan inakuwa as if ni part ya apps znazo kuja na simu

Yap. Hata kwa n seriez na nokia 6120 c inakua kama n app ya humo humo. Then hata version ya nimbuz kwenye cmu hz huwa inakua kama ya humo humo. Huwa naskia raha ku2mia.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom