Wangari Maathai
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 34,959
- 70,694
SijuiKwahio ukiambiwa lea mwanao maanake ukae nae 24/7?!
SijuiKwahio ukiambiwa lea mwanao maanake ukae nae 24/7?!
Hata kama lakini ndiyo kumsingizia mwanao mdogo hivyo kwamba anajamba Dar nzima?Mungu ni mwema shule zimefunguliwa japo wengine tulikuwa tushakula ada ,ila sio mbaya tutadanga hivo hivo watoto wasome.
Mwenzenu Nina changamoto kababy ketu kalianza shule mwaka huu kabla ya lockdown ile Jan.nikalipa ada vizuri tu .ila hakusoma sana hata mwezi akaanza kuzingua mara anaumwa .mara anachelewa kuamka ,mara mvua etc anyway wenyewe tukaona kwa vile ni mdogo just 2yrs tusiforce akaacha tu ndo kukutana na lockdown ya shule Hadi alivoanza tena shule just imagine tumelipishwa tena ada nziiima sina hamu.
Kinachoniuma toka dogo aanze shule juzi anajamba balaa.japo ni kadogo siwezi kusema anachoniambia ni kweli au lah ila nikimuuliza shule ulikula nini anasema ugali maharage na maziwa, jana makande Ugali maharage yaani kila siku maharage.
Mtoto anajambaaa Dar nzima yaani hadi tunakionea kitoto chetu huruma nataka niandamane kwa Ndalichako maana hela nalipa sasa nauliza nifanyeje wakuu na hii shule.
Hatukai naeBaba wa mtoto anasemaje kuhusu vijambo vyake!![]()
Kama kuna msaidizi nyumbani please mwachishe mtoto dhule, bado mdogo sana kushinda shule siku nzima. Anachofundishwa huko unaweza mfundisha vizuri tu nyumbani, ar that age hawawezi kuabsorb much unapoteza tu hela yako na una risk afya yake.Eti wamesogeza ratiba mbele anatoka saa kumi
wanalishwa mayai ya kenge itakuwaAiseee,fatilia shule huko usikubali kusikia tu kutoka kwake,kwa sababu bado mtoto mdogo huyo.
mwalimu wako wa shule ya msingi nahtaji kumjua maana atakuwa mzungu tu...akili unayo kubwa sanahKama kuna msaidizi nyumbani please mwachishe mtoto dhule, bado mdogo sana kushinda shule siku nzima. Anachofundishwa huko unaweza mfundisha vizuri tu nyumbani, ar that age hawawezi kuabsorb much unapoteza tu hela yako na una risk afya yake.
Alitakiwa aende na miaka mingapi?Mtoto wa miaka miwili anaenda shule? You guys are so evil
Ila wewe hujambi? Punguza kudanga mtoto ataacha kujambaMungu ni mwema shule zimefunguliwa japo wengine tulikuwa tushakula ada ,ila sio mbaya tutadanga hivo hivo watoto wasome.
Mwenzenu Nina changamoto kababy ketu kalianza shule mwaka huu kabla ya lockdown ile Jan.nikalipa ada vizuri tu .ila hakusoma sana hata mwezi akaanza kuzingua mara anaumwa .mara anachelewa kuamka ,mara mvua etc anyway wenyewe tukaona kwa vile ni mdogo just 2yrs tusiforce akaacha tu ndo kukutana na lockdown ya shule Hadi alivoanza tena shule just imagine tumelipishwa tena ada nziiima sina hamu.
Kinachoniuma toka dogo aanze shule juzi anajamba balaa.japo ni kadogo siwezi kusema anachoniambia ni kweli au lah ila nikimuuliza shule ulikula nini anasema ugali maharage na maziwa, jana makande Ugali maharage yaani kila siku maharage.
Mtoto anajambaaa Dar nzima yaani hadi tunakionea kitoto chetu huruma nataka niandamane kwa Ndalichako maana hela nalipa sasa nauliza nifanyeje wakuu na hii shule.
Hamna kitu hapoHa ha ha ha kwa mtazamo huu,huko tuendako...watakuwa wameshakua kabla ya arobaini wanaanza shule😂😂😂
Hakikisha unawasimamia mtoto anamnyonya mama yake kisawasawa miaka miwili kamili...Mm naonekana mtata kwa mwnzng na hta mama mkwe...mfano,I told them,why are we not abiding to the exclusive breastfeeding(ebf) tunayoambiwa na wataalam wa RCH tuendako...nn Sasa umuhimu wa mm kwenda nawe clinic loooh majibu yanakuwa hapana Mana mtoto hashibi sjui Bibi yake kasema...tushazoea haya...katoto kana miez 2 miuji kibao ananyweshwa,mimaji eti ana kiu...kitumbo ndiii yaani
UNAULIZA HUJAELEWA AU KIPOFU AMA NINI?Sasa nifanyeje wakuu??
Hiyo sio hoja mtoto anahitaji malezi na usimamizi wa mzazi mpaka atakapobalehe. .. Awe na akili nyingi mpaka zinamwagika au asiwe nazo...Hahahhaaa nacheka na comments zako mkuu! Hahhaaa demu ametoka Jimbo la Philadelphia🤣🤣🤣🤣!
Ila watoto wa nyakati hiz wako bright Sana kumwacha had 5yrs ni kumdumaza tu!
Ndalichako amesema muda wa kukaa shuleni uongezwe ili kufidia miezi ya koronaI think huo umri angepata kindergarten ya kutoka saa 6 mchana ili apate mlo nyumbani...ni mdgo sana kushinda shule na kusokomezwa unbalanced diet![]()
Mama au mwanamke sio jukumu lako kutafuta.. . Mtoto atakula tu.. . Ila JUKUMU LA MSINGI LA MAMA NI MALEZI YA WATOTO...Malezi sio kukaa tu na mwanao 24/7 jombaa...atakula Nini...ni kutenga muda na mwanao zaidi..lakini bila kutafuta pesa ndo unakuta mitoto ikisikia kwa jirani nyama innukia inahamia huko!..hapana aisee