Jumbe Brown
JF-Expert Member
- Jun 23, 2020
- 12,035
- 12,805
Wala hatushangai kwani tunayaona na ishakuwa KASUMBA....Sasa kila mzazi akili kichwani mwake...Mbona bongo watoto wengi wapo shule na mwaka? Mnashangaa wangu wa miaka miwili huko??
Wala hatushangai kwani tunayaona na ishakuwa KASUMBA....Sasa kila mzazi akili kichwani mwake...Mbona bongo watoto wengi wapo shule na mwaka? Mnashangaa wangu wa miaka miwili huko??
Akae nyumbani? Acha mtoto akapate elimu.Kwa hali jinsi ilivyo kipindi hiki,mtoto wa chini ya miaka 5 kumpeleka shule ni sawa na kubet uhai wake
Si mnataka akifikisha miaka 20 akaanze kukitegemea, sasa kama umemchelewesha shule atamaliza shule akiwa na umri gani?Kwa hali jinsi ilivyo kipindi hiki,mtoto wa chini ya miaka 5 kumpeleka shule ni sawa na kubet uhai wake
Eksozi ya pikipikiPole sana daaahnacheka km mazuri vle...wake zetu wa Mjini kweli kazi wanayo,ubize maskini,mpaka miezi michache tu baada ya breastfeeding kanapelekwa babycare-kindergarten...huko kanasonyekwa miharage ya mafuta ya mawese,mimaji isiyochemshwa, unategemea kasiwe EKSOZI ya pikipiki daaaah kabebi ketu
afu mama mwenyewe japo na kudanga hovyo anachokipata na kle cha mwenzake akiunganisha hakijai mkononi loooh salaleee
Looo😂Akae nyumbani? Acha mtoto akapate elimu.
Me nilienda nae shule nikaangalia mazingira, nikarudi nae.Kwa hali jinsi ilivyo kipindi hiki,mtoto wa chini ya miaka 5 kumpeleka shule ni sawa na kubet uhai wake
😂😂Me nilienda nae shule nikaangalia mazingira, nikarudi nae.
Nitampeleka mwakani
Eksozi ya boda sioPole sana daaahnacheka km mazuri vle...wake zetu wa Mjini kweli kazi wanayo,ubize maskini,mpaka miezi michache tu baada ya breastfeeding kanapelekwa babycare-kindergarten...huko kanasonyekwa miharage ya mafuta ya mawese,mimaji isiyochemshwa, unategemea kasiwe EKSOZI ya pikipiki daaaah kabebi ketu
afu mama mwenyewe japo na kudanga hovyo anachokipata na kle cha mwenzake akiunganisha hakijai mkononi loooh salaleee



Kweli kabisa mkuuKwa hali jinsi ilivyo kipindi hiki,mtoto wa chini ya miaka 5 kumpeleka shule ni sawa na kubet uhai wake
Chukua lea na somesha mwenyewe nyumbani.. .Mkuu tufanyeje Sasa??
Mungu ni mwema shule zimefunguliwa japo wengine tulikuwa tushakula ada ,ila sio mbaya tutadanga hivo hivo watoto wasome.
Mwenzenu Nina changamoto kababy ketu kalianza shule mwaka huu kabla ya lockdown ile Jan.nikalipa ada vizuri tu .ila hakusoma sana hata mwezi akaanza kuzingua mara anaumwa .mara anachelewa kuamka ,mara mvua etc anyway wenyewe tukaona kwa vile ni mdogo just 2yrs tusiforce akaacha tu ndo kukutana na lockdown ya shule Hadi alivoanza tena shule just imagine tumelipishwa tena ada nziiima sina hamu.
Kinachoniuma toka dogo aanze shule juzi anajamba balaa.japo ni kadogo siwezi kusema anachoniambia ni kweli au lah ila nikimuuliza shule ulikula nini anasema ugali maharage na maziwa, jana makande Ugali maharage yaani kila siku maharage.
Mtoto anajambaaa Dar nzima yaani hadi tunakionea kitoto chetu huruma nataka niandamane kwa Ndalichako maana hela nalipa sasa nauliza nifanyeje wakuu na hii shule.
Ha ha ha kabla ya arobaini😂Tunakoelekea mtoto ataenda shule akiwa mdogo bado ananyonya akirudi kutoka shule ananyonyeshwa.
Mm naonekana mtata kwa mwnzng na hta mama mkwe...mfano,I told them,why are we not abiding to the exclusive breastfeeding(ebf) tunayoambiwa na wataalam wa RCH tuendako...nn Sasa umuhimu wa mm kwenda nawe clinic loooh majibu yanakuwa hapana Mana mtoto hashibi sjui Bibi yake kasema...tushazoea haya...katoto kana miez 2 miuji kibao ananyweshwa,mimaji eti ana kiu...kitumbo ndiii yaaniHa ha ha kabla ya arobaini😂
Mm naonekana mtata kwa mwnzng na hta mama mkwe...mfano,I told them,why are we not abiding to the exclusive breastfeeding(ebf) tunayoambiwa na wataalam wa RCH tuendako...nn Sasa umuhimu wa mm kwenda nawe clinic loooh majibu yanakuwa hapana Mana mtoto hashibi sjui Bibi yake kasema...tushazoea haya...katoto kana miez 2 miuji kibao ananyweshwa,mimaji eti ana kiu...kitumbo ndiii yaani
Hakusema boarding,ni hz daycare zetuMtoto mdogo hivyo, unampeleka bording school, matatizo mengine mnajitafutia wenyewe, alafu uzungu mwingi.
Ndio hivyo sasa, ana jamba jamba
Ulipakutaje mkuu??Me nilienda nae shule nikaangalia mazingira, nikarudi nae.
Nitampeleka mwakani