Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 28,029
- 52,507
- Thread starter
- #41
Alianza akiwa ananyonyaTunakoelekea mtoto ataenda shule akiwa mdogo bado ananyonya akirudi kutoka shule ananyonyeshwa.
Alianza akiwa ananyonyaTunakoelekea mtoto ataenda shule akiwa mdogo bado ananyonya akirudi kutoka shule ananyonyeshwa.
Wapi nimesema Yuko boarding??Mtoto mdogo hivyo, unampeleka bording school, matatizo mengine mnajitafutia wenyewe, alafu uzungu mwingi.
😂Alianza akiwa ananyonya
Sasa ningefanyeje mamiloo nyumbani anacheki tv tu na dada siku nzima.hana wa kucheza nae.tuliona anakuwa mpweke sanaHongera Miss Natafuta kwa kupata ka baby. Ila kama ni yai la mwisho why umpeleke shule ktk umri huo jamaniii mbona mdogo sana?mimi labda ni old fashioned
Haha ha ha oooo kumbe kafestiboni,sa si acheze na huyo dada huku ukijipanga kumletea mwnzke mwakani😂😂Sasa ningefanyeje mamiloo nyumbani anacheki tv tu na dada siku nzima.hana wa kucheza nae.tuliona anakuwa mpweke sana
Ndo kaacha juzi kwanza hajaacha vizuri
Maneno magumu mkuu kweli akili imefunguka niambieni sasa nifanyeje??Mkuu uko busy kiasi gani kupelekea mtoto wa miaka miwili akalelewe kindergarten?
Uzungu zungu tu kila kitu why!
Ivi ako kajukuu ukikaacha kakakua kua ad kajitambue kakiwa kanakula matunda halisi ya nyumbani kukomaza ubongo kuna ubaya?
Kwenye hivi vituo vya kulelea watoto mnavyoviita ninyi shule, hakuna chakula cha maana wanachoweza kulisha watoto, vinginevyo wajiendeshe kwa hasara.
Na katajamba sana Dar nzima, maana hakuna namna!
Ee, si mzazi umeamua kukasulubu?
Kuzaa tena saa hizi mkuu daah ??Haha ha ha oooo kumbe kafestiboni,sa si acheze na huyo dada huku ukijipanga kumletea mwnzke mwakani![]()
Mkuu shida imeonekana dhahiri, mlee nyumbani kwanza achangamke, bado kakinda sana buana!Maneno magumu mkuu kweli akili imefunguka niambieni sasa nifanyeje??
HahaAlianza akiwa ananyonya
Hiyo hiyo Kasi ni lzma uikabili kitunduizi...akili kumkichwa mana Kasi hyo haiwez kubadlsha baadh ya Mambo adhimu yatuhusuyo...Maisha yanaenda kasi sana,mtoto halelewi na mama tena, ni mwendo wa Day care na sijui boarding.... sijui watoto wakikua watakuaje.
Wazazi wa zama hizi,hawapendi usumbufu wa watoto wakiwa wanachati,,wanawasukuma boarding to watoto wakapambaneHa ha ha ha kwa mtazamo huu,huko tuendako...watakuwa wameshakua kabla ya arobaini wanaanza shule😂😂😂
.....anakusumbua ukiwa unachati😂😂😂Yaani miaka 2 yuko shule?!!!.
Subiri afike 5 kama anakuboa akiwa home,tafuta housegal ili asiwe anakusumbua ukiwa unachati,kuliko kumpeleka shule umri huo
"watu saizi wamechoka kulea"😠 insktshaa mnoowatu saiz wamechoka kulea.. nilikaona katoto kana miaka miwili kapo shule yaan ata upendo wa mamaake hajaufaidi.. wanawatesa sana.. shule hawatoweza kuwapikia watoto wengi chakula cha afya ni makande tuuu