Wazungu hawanaga housegirl so kama mtu ameajiriwa mtoto atapelekwa daycare, hawana choice. Wengine huamua kuacha kazi anazaa chap chap anawalea mpaka umri wa kuanza shule ambao ni miaka 5 then anarudi kazini. So tusiige wazungu sio kwamba wanapenda.Yaani SKU izi shida kweli eti katoto hata kusema vizuri hakijui unakapeleka shule usimtese aisee subiri atimie at least miaka 5 huko nikumtesa tu mtoto huu uzungu huu.