Watoto wetu wanakula nini mashuleni?

Watoto wetu wanakula nini mashuleni?

Kwani mtoto si yupo home jamani??
Sasa ulikuwa unauliza nini ushauri wakati MBISHI HUTAKI KUACHA UPUMBAVU WAKO...

MWACHE AENDELEE KUJAMBA BASI.. . WANAWAKE VICHWA BOMU KAMA NINYI NDIO MKIWASHWA MAKOFI MNAONA MNAONEWA. ..

ALIYEZAA NA WEWE ANA HASARA NA YEYE NI BOMU TU KUTOA PESA YAKE KUSUPPORT MATESO KWA MTOTO...
 
Kama kuna msaidizi nyumbani please mwachishe mtoto dhule, bado mdogo sana kushinda shule siku nzima. Anachofundishwa huko unaweza mfundisha vizuri tu nyumbani, ar that age hawawezi kuabsorb much unapoteza tu hela yako na una risk afya yake.
Huyu dada hasikii.. . Na hataki kufuata ushauri huu.. .
 
Alitakiwa aende na miaka mingapi?
Kwa maswali ya kipumbavu kama haya unayouliza hutaki kubadilika wala KUMSAIDIA mwanao...

BAKI NA UPUMBAVU WAKO. .. NA ALLAH AFUNGE KIZAZI CHAKO KABISA USITUTESEE WATOTO BURE. . .
 
hata mimi nimewaza kama wewe.
Afya yake ni muhimu kuliko hicho anachokisoma huko shuleni kwa umri huo.
Wazazi wengine hela zao hazina kazi sijui,ila cha ajabu wakishalipa wanakuja kulalamika humu
Kwa hali jinsi ilivyo kipindi hiki,mtoto wa chini ya miaka 5 kumpeleka shule ni sawa na kubet uhai wake
 
Mtoto ana mtoto ndio madhara yake hayo. Akili zako hazijakomaa kama mma kisha unapeleka mtoto shule katika umri wa miaka miwili?
Angalia hata sera za elimu zinasema mtoto aanze chekechea na miaka minne. Hiyo mingine anatakiwa kupata malezi ya mama na uangalizi wa karibu wa wazazi

Makuzi ya mtoto yana stages ndio maana anaanza kwa kujifunza kuongea kutembea n.k Sasa mtoto yuko kwenye stage ya kujifunza kuongea na kutembea unampeleka shule akafundishwe hesabu na kunyweshwa maji yasiyochemshwa ndio uzungu huo

SHAME ON YOU na huko kujamba ni maradhi hayo subiri ukubwani awe na vidonda sugu vya tumbo
 
Mungu ni mwema shule zimefunguliwa japo wengine tulikuwa tushakula ada ,ila sio mbaya tutadanga hivo hivo watoto wasome.

Mwenzenu Nina changamoto kababy ketu kalianza shule mwaka huu kabla ya lockdown ile Jan.nikalipa ada vizuri tu .ila hakusoma sana hata mwezi akaanza kuzingua mara anaumwa .mara anachelewa kuamka ,mara mvua etc anyway wenyewe tukaona kwa vile ni mdogo just 2yrs tusiforce akaacha tu ndo kukutana na lockdown ya shule Hadi alivoanza tena shule just imagine tumelipishwa tena ada nziiima sina hamu.

Kinachoniuma toka dogo aanze shule juzi anajamba balaa.japo ni kadogo siwezi kusema anachoniambia ni kweli au lah ila nikimuuliza shule ulikula nini anasema ugali maharage na maziwa, jana makande Ugali maharage yaani kila siku maharage.

Mtoto anajambaaa Dar nzima yaani hadi tunakionea kitoto chetu huruma nataka niandamane kwa Ndalichako maana hela nalipa sasa nauliza nifanyeje wakuu na hii shule.
Ningekuwa Nina watoto au mtoto chini ya miaka ya kuanza grade one nisingempeleka Nursery school kipindi hiki. Kitu ningefanya ni kutafuta mwalimu mzuri aje amfundishe nyumbani Kusoma, Kuandika, Kuhesabu n.k Yaani syllubus ya Nursery school. Ninaamini atafanya vizuri na ataingia darasa la kwanza tu umri ukifika.
Nikuhakikishie nachukua mwalimu aliyeajiriwa ili awe anampa mitihani ya hiyo shule aliko. Kazi inaisha hapo.
Salary 300K mpaka 400K kwa mwezi.
 
Kwa maswali ya kipumbavu kama haya unayouliza hutaki kubadilika wala KUMSAIDIA mwanao...

BAKI NA UPUMBAVU WAKO. .. NA ALLAH AFUNGE KIZAZI CHAKO KABISA USITUTESEE WATOTO BURE. . .

Ficha upumbavu wako! Dunia unayoingelea tulishatoka..lione Kwanza😏!
Kwa wanaume wa wapi wa kutoa malezi yote yeye mxiew
 
Ficha upumbavu wako! Dunia unayoingelea tulishatoka..lione Kwanza😏!
Kwa wanaume wa wapi wa kutoa malezi yote yeye mxiew
Maisha sio rahisi kihivyo useme mwanamke atakaa nyumbani kumlea mtoto kwanza kuna changamoto za mayaya ,kule daycare ndo imekua salama ya kulelewa watoto ila kama anaweza amfungashie chakula chake mwenyewe
 
Ficha upumbavu wako! Dunia unayoingelea tulishatoka..lione Kwanza😏!
Kwa wanaume wa wapi wa kutoa malezi yote yeye mxiew
Maisha sio rahisi kihivyo useme mwanamke atakaa nyumbani kumlea mtoto kwanza kuna changamoto za mayaya ,kule daycare ndo imekua salama ya kulelewa watoto ila kama anaweza amfungashie chakula chake mwenyewe
 
Yaani SKU izi shida kweli eti katoto hata kusema vizuri hakijui unakapeleka shule usimtese aisee subiri atimie at least miaka 5 huko nikumtesa tu mtoto huu uzungu huu.
 
Hahaha nahisi hamjamuelewa, naye mleta mada labda kachanganya , KINDERGARTEN NA DAYCARE.

Nijuavyo mimi DAYCARE siyo shule.

Huyo mtoto kaanza kuongea akiwa na umri gani, na kujua kusoma na kuhesabu akiwa na umri gani?!

Binafsi ninaye wangu wa 2 years hajui hatakutengeneza sentence iliyonyooka, anaokota okota maneno, yani ndio anajifunza kuongea na nina kiri hajui kuongea,tuna mpeleka daycare anacheza na wenzake.
Hii daycare ni jioni wazazi huwa wapo pale wakiwaangalia watoto wao wakicheza na wenzao, kupata social skills tu.
Najiuliza huyo wako anaenda shule kweli au ni Daycare?!
 
Mm naonekana mtata kwa mwnzng na hta mama mkwe...mfano,I told them,why are we not abiding to the exclusive breastfeeding(ebf) tunayoambiwa na wataalam wa RCH tuendako...nn Sasa umuhimu wa mm kwenda nawe clinic loooh majibu yanakuwa hapana Mana mtoto hashibi sjui Bibi yake kasema...tushazoea haya...katoto kana miez 2 miuji kibao ananyweshwa,mimaji eti ana kiu...kitumbo ndiii yaani
 
Back
Top Bottom