Watoto wenye akili za ziada milion5 (U.S.A)

Watoto wenye akili za ziada milion5 (U.S.A)

What is this!? Hawa siyo MAZOMBIE kweli? Tusubiri tuwaone in the next 10 to 20 years! Halafu siyo kila wafanyacho Wamarekani ni SAHIHI! Tusikubali vitu bila kuvichanganua.
ishu sio sisi kukubali ama kukataa ni taarifa tu kuwa wenzetu wanakuja kizazi cha kipekee na chenye nguvu ya kila kitu...
 
Hao ndio watakuja kutawala hawa akina junior wetu ambao wakijua kusema Good morning papa , good morning maza, tunasema katoto kana akili balaa haka.....!

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wanaumba duuuh?? hakuna mtu aliyembele ya muda ata mu1 na hakuna mtu awezaye kuongoza akili za mwenzake wanachofanya n "artoficial insermination tuu" kama ulisoma biology ukaielewa basi utajua dhahir mtu haongezewi hakili😇😅🤣😁
 
Mkuu hiyo rahisi hata kwa mkeo TU lakini yahitaji Ufahamu vema saikolojia.Kimsingi mtoto hukua ubongo kwa hatua ya kwanza kuanzia umri 0. Hapo katika makuzi ya akili ya mtoto sisi ndipo hukosea.
Nakupinga mkuu coz aya mambo yapo genetically zaidi, haiwezekani father &mother extrovert mnazaa Introvert, hata kama mkimleaje atakuwa kama nyinyi 2
 
Nakupinga mkuu coz aya mambo yapo genetically zaidi, haiwezekani father &mother extrovert mnazaa Introvert, hata kama mkimleaje atakuwa kama nyinyi 2
Mkuu ukitaka mtoto wako awe unavyotaka awe anakuwa ila mchakato huo uanze umri 0 Hadi miaka 6tu, na baada ya hapo kitachojitokeza ni impact ya kile ulicho kiingiza kwa mtoto kwa kipindi hicho
 
Wanaumba duuuh?? hakuna mtu aliyembele ya muda ata mu1 na hakuna mtu awezaye kuongoza akili za mwenzake wanachofanya n "artoficial insermination tuu" kama ulisoma biology ukaielewa basi utajua dhahir mtu haongezewi hakili[emoji56][emoji28][emoji1787][emoji16]
akili zinaongezwa vizuri sana mbali na kuongezwa kuna kitu kama AI(artificial intelligence) ni ya kuundwa ila inakuzidi hata binadamu kwenye utendaji kazi mwanzo mwisho.
 
Mwenzenu naona both mazingira na genes vinadetermine huyo mtu atakuwaje. Kwa mfano hao waliozaliwa na IQ kubwa usipowaweka kwenye mazingira yanayostimulate uwezo wao kama mashuleni, uwezo hupotea ( ndio navyoamini LOL) ,,mimi naamini pia akili hirithishwa,ila hizi studies za genes modification zinachanganya lol
 
ishu sio sisi kukubali ama kukataa ni taarifa tu kuwa wenzetu wanakuja kizazi cha kipekee na chenye nguvu ya kila kitu...
OK sawa ila sioni sababu ya kulishabikia hili kwani hakuna ajuaye nini kitatokea, in fact hata hao watengenezaji hawajui the end results and output ya kazi yao hii!
 
akili zinaongezwa vizuri sana mbali na kuongezwa kuna kitu kama AI(artificial intelligence) ni ya kuundwa ila inakuzidi hata binadamu kwenye utendaji kazi mwanzo mwisho.
Kwa process ipi labda ?? Na wasiwasi hujui maana ya akili. Iv unaweza kuongeza ufaham wa binadam kwa process gan ya kibiologia itaje.
 
Kwa process ipi labda ?? Na wasiwasi hujui maana ya akili. Iv unaweza kuongeza ufaham wa binadam kwa process gan ya kibiologia itaje.
tatizo lenu wengi much know mmeharibiwa na mitaala ya oxford
 
Back
Top Bottom