Khalifavinnie
JF-Expert Member
- May 19, 2017
- 2,849
- 2,442
Watoto wenye akili za ziada milion5 wazalishwa kila baada ya miaka10 us chember place,watoto hao wako shapu na wakiwa mbele ya muda kwa kila skills,wakati sisi tunapambania kujazana vyuoni na kula boom wenzetu wanaumba akili za ziadi na kupandikiza mbegu kisha kiumbe mtoto kinakuja full package hatar ya ufamu.....