Jimbi
JF-Expert Member
- Aug 16, 2010
- 4,605
- 5,192
- Thread starter
- #61
Mkuu, kuna MAJITU majinga mno hapa nchini. Nadhani ndio MANUFAIKA ya hizo fursa, sisi tunahoji matumizi ya KODI zetu yanatoa majibu ya nyodo. PUMBAVU ZAO KABISA!Kuna mafundi wa kudis lakini kwangu mimi nadhani mleta mada kaleta swali fikirishi ambalo kwangu mimi hata sijawahi jiuliza.