wewe kwani? Jesca kashamaliza shule?anaweza kuwa ni mjukuu wa JPM,mtoto wa Jesca
wewe kwani? Jesca kashamaliza shule?anaweza kuwa ni mjukuu wa JPM,mtoto wa Jesca
Ni watoto wako ama wa ndugu zako?
Unataka ukampokee weweTumeambiwa hii ni nchi yetu sote Mkuu! Kuna ubaya gani IWAPO UTAHOJI UHALALI WA JAMBO LOLOTE?
Aibu nimeona mimi Mkuu.Hapo utasema umejibu maswali yake mkuu?! Mbona maswali yake yako wazi wivu unatoka wapi tena mkuu?
Wewe ndio una wivu...mtu kauliza tu umeruka.Acha wivu mkuu
Ni watoto wako ama wa ndugu zako? Tumeambiwa hii ni nchi yetu sote Mkuu! Kuna ubaya gani IWAPO UTAHOJI UHALALI WA JAMBO LOLOTE?
Wewe ndio una wivu...mtu kauliza tu umeruka.
Wivu hauna tatizo cha muhimu uwe mzuri tu....ndio maana kuna kitu kinaitwa wivu wa maendeleo....
Mbona unaumia...kazi na maisha ni yake..kama una majibu mjibu....kama huna tulia wenye majibu waje...Akifaham itamsaidia nini yeye binafsi? Kwamba itamuongezea pesa kwenye akaunti yake? Huoni kwamba nikukosa kazi za kufanya huko
Unahakika hakuna BAJETI yeyote hapo Mkuu? Ujue hizo ni KODI ZETU aisee.Ugeni unapokuja kuna watu mashuhuru au viongozi wenyewe kwa wenyewe hujitolea kutoa watoto zao wakapokee viongozi wengine au ugeni...
Hawalipwi chochote... sisi mpaka nyimbo za nchi yetu... Tanzania tulikua tunaimba, Tanzania Tanzania nakupenda, Tazama Ramani, kama siyo juhudi zake nyerere... zote tumeimba sana kwenye kupokea viongozi wengine...
Cc: mahondaw
Tumeambiwa hii ni nchi yetu sote Mkuu! Kuna ubaya gani IWAPO UTAHOJI UHALALI WA JAMBO LOLOTE? Ama wewe unaishi Nchi gani Mkuu?
Mbona unaumia...kazi na maisha ni yake..kama una majibu mjibu....kama huna tulia wenye majibu waje...
Kuna MAJINGA NA MAPUMBAVUU MENGI nchi hii Mkuu, hasa katika Utawala huu.Swali fikirishi sana. Watu watakuja na majibu mengi tu ya kukukosoa, lakini ukweli ni kwamba jibu sahihi linahitajika maana sijawahi kusikia maombi ya kazi kwa watoto hao.
Nafikiri ni watoto wa wanye nafasi tu na si vinginevyo. Kwani yule mtoto wa Baba nanii na Mama nanii kule kijijini nani anayemfahamu?