Watoto wanaotumika Kupokea Viongozi

Watoto wanaotumika Kupokea Viongozi

Kwani wale wanowasindika uwanjani wachezaji wa mpira hasa ulaya wale ni watoto wa nani ukipata jibu basi na hao utapata jibu kama ni watoto wa makocha au washabiki au nani
 
Kwani wale wanowasindika uwanjani wachezaji wa mpira hasa ulaya wale ni watoto wa nani ukipata jibu basi na hao utapata jibu kama ni watoto wa makocha au washabiki au nani
Kumbe kusindika lina maana nyingi zaidi ya viwanda vya kusindika nyama n.k!
 
Ukipata jibu la swali hili utakuwa umemaliza utata wote.
Watoto wanaosimamia hharusi huwa wanapatikanaje?
 
Jamii forum inapoteza muelekeo sijui tumeingiliwa na watu gani ,hiyo ni hoja nzuri sana tujibizane kwa hoja
NI swali ambalo sio fikirishi.
Kwa mfano ukifunga ndoa vile vitoto si lazima uchukue ndugu zako?
Sasa kuna swali hapo tena
 
Akifaham itamsaidia nini yeye binafsi? Kwamba itamuongezea pesa kwenye akaunti yake? Huoni kwamba nikukosa kazi za kufanya huko
Acha uvivu wa kufikiri wewe! Kila mtu angefikiri namna hiyo kungekuwa na kupiga kura ama jambo lolote la kushirikisha Wananchi wengi? Acha kukariri na kufikiri kwa kutumia MAKALIO (MASABURI). PUMBAVU!
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Nasikia ni Vitoto vya Jiwe...!! Vinalipwa Mil 5 kila wakimpokea mgeni...
 
Kuna mafundi wa kudis lakini kwangu mimi nadhani mleta mada kaleta swali fikirishi ambalo kwangu mimi hata sijawahi jiuliza.
 
Sawa
Acha uvivu wa kufikiri wewe! Kila mtu angefikiri namna hiyo kungekuwa na kupiga kura ama jambo lolote la kushirikisha Wananchi wengi? Acha kukariri na kufikiri kwa kutumia MAKALIO (MASABURI). PUMBAVU!
 
Wengi ni watoto wa viongozi, mfano kwenye picha iliyopo kwenye hii thread huyo mtoto aliyempa maua Tsheked ni mtoto wa mhe mbunge sixtus mapunda , huyu mtoto anatumika Sana kwenye hizi shughuli nadhani kashakuwa mzoefu sasa. Ukitaka kuthibitisha angalia Instagram account ya baba au mama yake utamuona huyo mtoto
 
Shukrani Mkuu, kuna watu wanatoa majibu ya hovyo hovyo tu hapa, utadhani hawalipi kodi yeyote ile. Huyo mtoto anajitolea tu? Ama kuna gharama analipwa?

Mchakato wa kumpitisha ukoje? Maana nina uhakika kuna watoto LUKUKI wenye vipaji mbalimbali hapa nchini.
 
Back
Top Bottom