[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ama kweli fursa zimekuwa adimu sana hadi huko watu wanahoji??
Hapo utasema umejibu maswali yake mkuu?! Mbona maswali yake yako wazi wivu unatoka wapi tena mkuu?Acha wivu mkuu
Hivi hawa Watoto wanaotumika kupokea Viongozi mbalimbali wanatokea wapi? Ni watoto wa akina nani? Mchakato wa upatikanaji wao ukoje? Wanalipwa kiasi gani? Bajeti ya shughuli zao inasomeka wapi?
Hapo utasema umejibu maswali yake mkuu?! Mbona maswali yake yako wazi wivu unatoka wapi tena mkuu?