Magical power
JF-Expert Member
- Sep 27, 2022
- 2,501
- 6,645
Nwatabiria baraka ila na wewe uchape KazJazia jazia mkuu umetufunga wengine
Alafu wewe ndo mana jukwaala dini walitaka kukupiga..Takbir
Geto kama gowdon 😀😀😀Maisha simple sana
Watu wanacomplicate mavitu kibao ila ni ushamba simple kama hivi
Takbir kwa sisi waislamu maana yake ni amen kwenu nyie wakristo 😎Alafu wewe ndo mana jukwaala dini walitaka kukupiga..
Sasa takbir hapa ya nini kaka 😀😀😀😀
😀😀😀😀 Sawa ila nakwambia hata huku watakufykuza hv hv kwa mambo yakoTakbir kwa sisi waislamu maana yake ni amen kwenu nyie wakristo 😎
Hawaniwezi😀😀😀😀 Sawa ila nakwambia hata huku watakufykuza hv hv kwa mambo yako
Nilifikiri nitatoka JF bila kuona content hii.... Wahuni kazini 🤝🤝🤝🤝🤝🤝🤝🤝Jamaa mwenye hilo getto atakuwa anakula pisi kinoma, sio kwa mpangilio huo wa kishua 😂