Watengenezee watoto wako ndugu wa kutosha

Equation x

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2017
Posts
41,208
Reaction score
64,297
Kama mzazi, jitahidi kuwa na watoto wengi ata 50 kama unaweza kufyatua,ili leo na kesho usipokuwepo, watoto wako wawe na ndugu wa kutosha.

Hii ya kuzaa kitoto kimoja au wawili, ni kumfanyia ukatili mtoto wako kwa kumnyima kuwa na ndugu wa kutosha.

Leo hii wewe, mkeo na ndugu zako mmekata moto, watoto wako utakuwa umewaachia ndugu wapi?

Maisha ni kufikiria mbele,na si kufikiria usasa.​
 
Wee ungejua yanayoendelea kwny familia nyingi za watoto wengi usingetamani...
Cha msingi zaa watoto wachache watafutie misingi mizuri ya maisha unahakikisha hata ukifa kesho wana chao cha kushika...mbona ndugu hata marafiki tuu nao ni ndg...ukiwaacha hawana mbele wala nyuma ndo wamejazana hapo ugomvi kila siku hata raha ya wingi wao hakuna
 
Ukifikisha miaka 45+ marafiki uliowategemea watakuwa bize na familia zao. Watengenezee watoto wako ndugu wa kutosha
 
Kama mzazi, jitahidi kuwa na watoto wengi ata 50 kama unaweza kufyatua,ili leo na kesho usipokuwepo, watoto wako wawe na ndugu wa kutosha.

Hii ya kuzaa kitoto kimoja au wawili, ni kumfanyia ukatili mtoto wako kwa kumnyima kuwa na ndugu wa kutosha.

Leo hii wewe, mkeo na ndugu zako mmekata moto, watoto wako utakuwa umewaachia ndugu wapi?

Maisha ni kufikiria mbele,na si kufikiria usasa.​
Hongera Mkuu. Waoga wa kufyatua tunakusindikiza, tupo nyuma yako
 
Wafundishe watoto wako kuwa na upendo kwa watu wote ili ukiondoka abaki na ndugu wengine uziowazaa.Nani alikmbia watoto uliowazaa ni lazima wapendane na kusaidiana?
 
Back
Top Bottom