Ndio tumeshachaguliwa kelele mtapiga tu lakini sisi tutaendea kuwa juu jamani mwenye nacho huongezewa.
Ndio tumeshachaguliwa kelele mtapiga tu lakini sisi tutaendea kuwa juu jamani mwenye nacho huongezewa.
kwani hao ni wakuteuliwa? si mnawachagua wenyewe? kama mnawapigia kura mnadhani wakatae sababu tu ni watoto wa vigogo? tuwe serious jamaniHATARI!Angalia jinsi watoto wa Vigogo walivyopeta UVCCM .DICKSON MEMBE,FREDY LOWASSA,RIDHIWANI KIKWETE,ASHURA HUSSEIN MWINYI,BENNY SAMWEL SITTA,DEBORAH MWANDOSYA,IRENE PINDA,FELISTER NDUGAI,CHRISTOPHER NDEJEMBI,SHARRIFA BILLALY,HAWA KIGODA,JUDITH MUKAMA,NA JALOME MSEKWA.Nchi hii Imekwisha,inatia hasira,TUSIPOKUWA MAKINI TUTAENDELEA KUTAWALIWA HADI WAJUKUU ZETU.HIVI WATANZANIA TUNAELEKEA WAPI?
Tatizo lako nini mkuu na wewe si ugombee huko Uvccm??
Kama na wewe unataka
Tatizo lako nini mkuu na wewe si ugombee huko Uvccm??
Kama na wewe unataka
Kumbuka kwamba fedha zilizofisadiwa za walipa kodi ndizo zilizotumika kuhonga ili kupata nafasi hizo. Si jambo la kujivunia na kuwakejeli maskini mliyowahonga wanaoishi chini ya $2 kwa siku.Jeuri na kiburi huponza.kwani hao ni wakuteuliwa? si mnawachagua wenyewe? kama mnawapigia kura mnadhani wakatae sababu tu ni watoto wa vigogo? tuwe serious jamani
mimi huwa nashangaa sana, huko kwenye vikao sipo. lakini kwani kura siyo siri ya mtu? kwani nikipewa hongo ni lazima nimchague mtu hata kama hafai?Kumbuka kwamba fedha zilizofisadiwa za walipa kodi ndizo zilizotumika kuhonga ili kupata nafasi hizo. Si jambo la kujivunia na kuwakejeli maskini mliyowahonga wanaoishi chini ya $2 kwa siku.Jeuri na kiburi huponza.
Inawezekana hata vijukuu vyao ambavyo havijazaliwa tayari vimetengewa nafasi tayari!
Wakuu, Ni kweli ujumbe huu umesambaa sana kwenye simu, Sijui lengo kuu la ujumbe huu ni nini? Tuache kutumia mitandao ya kijamii kujenga hasira kwa watu. Hii ni hatari kwani mwisho wa siku, si mimi wala wewe, hatutacheka. Kila mtu atalia. Tutumie hoja za kujenga nchi kuliko hoja za kubomoa