Watoto wa vigogo na upendeleo wa ajira nyeti serikalini

Kama ilivyo mfumo ada kwa viongozi na viongozi wastaafu wa serikali ya CCM a ni kurithishana madaraka,hebu wanajamvi tuangazie majina navyeo vya watoto wa ma ccm waliorithishwa vyeo na nafasi katika taasis mbalimbali.

Mkuu, kwenye Jukwaa hili Wadau wanajadili Biashara na Uchumi. Uzi ungekuwa na Tija kama ungetaka Wadau wajadili na kutafakari fursa mbalimbali zitakazowawezesha kurithisha Watoto wao utajiri! Wakati wewe unajadili "ma ccm" na "CCM" wenzako kwenye Jukwaa hili wanajadili fursa mbalimbali za Biashara na Uchumi! Ninakutakia Mjadala mwema wa "ma ccm" na CCM ili uje urithishe Watoto wako "ma ccm" na "CCM"!
 
Sio kosa lake. Msamehe bure. Alaf hapo anaishi mjini, angekua anaishi kijijini sijui hali ingekuaje.
 
Freeman Mbowe (Mzee Mtei) Nape NNauye (Moses Nnauye), Rizwan Kikwete (JK), Salma (Mkulu), Rose Kamili (Babu Slaa)
 
Sasa ulitaka wakupe wewe uliesomea shule za kata na chuo udom hata barua ya kuombea kazi kwa lugha ya cjui ndo kiinglish au kingereza huwezi andika, wakati wenzio wamesomea swiden kuanzia kindergarten, hihihihihi?? Kakate mkaaa
 
Hehhehe mnaponda wee,em jiulize we ungekuwa una uwezo ungeacha mwanao akose mwelekeo wakati una influence ya kumuweka sehemu??thubutu..
Hata mi mtoto wa mkulima siku nikineemeka nitawafaidisha wanangu na ndugu...
 
Hivi Nyerere na wenzie wa enzi zile nao wangefanya hivyo nchi hii ingekuwaje? Nyerere alikuwa na watoto na lakini hata siku moja hawakusikika kuingia kwenye upendeleo wa aina yoyote-wengine tulikuwa tunagombea nao maharage mashuleni,
hawa wa sasa wangepata wapi nafasi? nchi ni ya wote na fursa ya kupata nafasi nzuri ya kazi au uongozi ni ya watanzzania wote, kwa nini upendeleo unatamalaki nyakati hizi? kwa nini kusiwe na fair interviews?

inauma sana, yaani kama ukoo wenu hauna mtu aliyekuwa kiongozi basi sahau kuwa kiongozi

Sehemu kama BOT ndio huwezi kutia mguu kabisa
Usalama wa Taifa huwezi kanyaga
na hata sasa Jeshini ni shida kuingia mpaka kwa kimemo
 
Hapo BoT ndio balaa, ndio maana wanaogopa siri kali tatu wanatjua kiama kitawafika
 
Mimi CCM Mlalahoi,MNANIKAMUA BONGE LA KODI,MnajiFicha NDANI NA WANENU kuzi ENJOY.MNANIRUSHIA NUSU MNAPIGA 99%NI UZUZU!!
 
Sasa twende wapi tukapate ushauri! Sie maana mtetezi wa wanyonge ulitoweka oktoba 1999. Na amini iko siku nchi itapata mkombozi wa kweli.
 
inamaana hawatakiwi kufanya kazi, je ni asilimia ngapi ya nafasi zote? tupige shule tuache siasa, hadi madactari jamani mnaingiza kwenye siasa?
 
Mi bwana naichagua ccm kwasababu wananipa shat na kofia yaani vinanisitili sana kwenye jua wakat Wakuchimbua visik kwa maandalizi ya shamba
POVAT IZ AWA STUESHEN
Weeweeeee...!! nimepatia niljua nimemesahau kngereza
I know we hav something but......
 
Hivi Nyerere na wenzie wa enzi zile nao wangefanya hivyo nchi hii ingekuwaje? Nyerere alikuwa na watoto na lakini hata siku moja hawakusikika kuingia kwenye upendeleo wa aina yoyote-wengine tulikuwa tunagombea nao maharage mashuleni,
hawa wa sasa wangepata wapi nafasi? nchi ni ya wote na fursa ya kupata nafasi nzuri ya kazi au uongozi ni ya watanzzania wote, kwa nini upendeleo unatamalaki nyakati hizi? kwa nini kusiwe na fair interviews?

inauma sana, yaani kama ukoo wenu hauna mtu aliyekuwa kiongozi basi sahau kuwa kiongozi

Sehemu kama BOT ndio huwezi kutia mguu kabisa
Usalama wa Taifa huwezi kanyaga
na hata sasa Jeshini ni shida kuingia mpaka kwa kimemo

ndo inabidi kujitahidi sasa tufikie the upper class huku kajamba nani wanatujua?hehhe..life has never been fair,changamka uchukue chako
 
Heshima kwenu wanajamvi, Nia ya Thread hii ni kukupa wewe mwanajamvi fursa hadim ya kufunguka vilivyo kuhusiana na watumishi unaowajua kua wamewekwa ofisi fulani ilihali hawana sifa stahiki za kielimu kushikilia wadhifa huo.

NB. Unapoandika Jina Usisahau kuweka taasisi ya huyo mshukiwa Uwezo wake kielim .Na kwa uzoefu wako unadhani nafasi hiyo angestaili kuwa na mtu mwenye vigezo gani. Mchango wako ni Muhim sana unaweza kuokoa Taifa.
 
BARAZA LA MAWAZIRI
Angela Kairuki – mtoto wa mama Mkwizu ni naibu waziri wa sheria
January Makamba – mtoto wa makamba ni naibu waziri wa teknologia
Hussein Mwinyi – Mtoto wa Mwinyi ni waziri wa afya
Abdallah Mwinyi- mtoto wa mwinyi ni Mbunge wa EAC

WAKUU WA WILAYA
Gerald J. Guninita - Wilaya ya Kilolo
Paul Mzindakaya - Wilaya ya Busega (mpya)
Festo Kiswaga - Wilaya ya Nanyumbu (yuko ukoo wa mama Mongela)
Khanifa M. Karamagi - Wilaya ya Gairo (mpya)
Husna Mwilima - Wilaya ya Mbogwe (mpya)
John V. K. Mongella - Wilaya ya Arusha
John B. Henjewele - Wilaya ya Tarime
Agnes Hokororo – Wilaya ya Ruangwa

SERIKALINI
Janeth George Kahama, - Mganga Mkuu wa Jiji la Dar es salaam
Dk. Hawa Rashidi Kawawa - Mganga Mkuu Msaidizi wa Jiji la Dar es Salaam
Dk. Guni Kate Kamba - Mganga Mkuu wa Manispaa ya Kinondoni
Dk. Asha Omar Mahita - Mganga Mkuu wa Manispaa ya Ilala
Dk. Amani Kighoma Malima - Mganga Mfadhiwi wa Hospitali ya Temeke

VYAMA VYA SIASA
Nape NNauye – mtoto wa Moses Nnauye ni katibu mwenezi CCM

WATOTO WA VIGOGO WALIOPITA UVCCM NGAZI YA TAIFA.
1. DICKSON MEMBE
2. FREDY LOWASA
3. RIDHIWANI KIKWETE
4. ASHURA HUSSEIN MWINYI
5. BEN SAMWEL SITTA
6. DEBORA MWANDOSYA
7. IRENE PINDA
8. FELISTER NDUGAI
9. CHRISTOPHER NDEJEMBI
10. SHARIFA BILAL
11. HAWA KIGODA
12. JUDITH MUKAMA
13. JALOME MSEKWA

14. MBONI MHITA
15. JONAS NKYA

MASHIRIKA, TAASISI, MAKAMPUNI BINAFSI NA YA UMMA

Emanuel Mongela – mtoto wa mama Mongela ni ofisa benki ya standard charter Arusha
Patrick Mongela - MKURUGENZI wa Uendeshaji wa Mfuko wa Pensheni kwa Watumishi wa Umma (PSPF)
Mwamvita Makamba – mtoto wa yusufu Makamba mi ofisa wa ngazi ya juu VODACOM
Nafue Nyange Kilango Malecela- Mtoto wa Anna Kilango Malecela ni ofisa wa ngazi ya Juu NSSF

Watoto wa Vigogo BOT
Salama Ali Hassan Mwinyi
Filbert Tluway Sumaye
Zaria Rashid Kawawa
Blasia William Mkapa
Herriet Marten Lumbanga
Pamela Edward Lowassa
Rachel Muganda
Salma Omary Mahita
Justine Mungai
Kenneth Nchimbi
Violet Philemon Luhanjo
Liku Kate Kamba
Thomas Mongela
Jabir Abdallah Kigoda

Zaidi ya asilimia 70 ya hawa wasingepata vyeo hivyo kama wangekuwa watoto wa mtu wa kawaida.
 
Back
Top Bottom