ndio maana nakinyatia kile ki -A..ha japo bado bado kielimu!Kama walipata kazi kwa upendeleo, bila qualification, ni kosa. Vinginevyo sioni kosa kabisa, maana hata Muhimbili kuna Madaktari wengi watoto wa Vigogo.
Cha maana kwa wale makapela, wafungieni kazi muwaoe, kukata mzizi wa fitina
Hivi watoto wa vigogo wanatakiwa waajiriwe wapi vile
ona nchi yetu ilivyo
filbart sumaye, pamela lowasa, zaria kawawa,herieth lumbanga, salama mwinyi,rechal muganda, salma mahita,justina mungai, keneth nchimbi, blasia w. Mkapa, vaoleth luhanjo, liku kate kamba, thomas mongela na jabiri kigoda.
Hiyo ni timu ya watoto wa vigogo walioajiriwa bot bado katika balozi zetu nje ya nchi.nchi yetu inafisadiwa nani wa kutuokoa wengi wao wameghushi elimu zao
hii meseji imezagaa mitaani kwa sana sasa sijui kwamba ni kujivunia viongozi wetu kutuonyesha kuwa elimu ni msingi wa maisha kwa kuwapa watoto wao elimu bora au
ni wananchi kuona huko ni kupendeleana katika ajira zenye maslahi mazuri au
ni wivu wa watanzania tu?
Tangu nikiwa mdogo nimekuwa na ndoto kuja kuwa mfanyakazi wa BOT sikati tamaa! Najua iko siku milango ya watoto wa wakesha hoi itakuwa wazi japo hata kwa kumuokotea gavana kalamu zikidondoka!inshaallah
Hapo kwenye blue! Mtoi unapenda kazi za kuinama mara kwa mara??
ha ha ha ha!!!!!!!!Hapo kwenye blue! Mtoi unapenda kazi za kuinama mara kwa mara??
Tangu nikiwa mdogo nimekuwa na ndoto kuja kuwa mfanyakazi wa BOT sikati tamaa! Najua iko siku milango ya watoto wa wakesha hoi itakuwa wazi japo hata kwa kumuokotea gavana kalamu zikidondoka!inshaallah
Hivi watoto wa vigogo wanatakiwa waajiriwe wapi vile
Halmashauri ya wilaya ya Nkasi mkoani KATAVI!
Hapo kwenye blue! Mtoi unapenda kazi za kuinama mara kwa mara??
Mkumbuke prof. Sarungi aliacha udakitari akawa mwanasiasaPAMELA LOWASA
Huyo hapo si alimaliza shahada ya medicine pale muhimbili sasa B.O.T yupo kitengo gani au ni daktari wa Gavana? au nachanganya majina?