barafuyamoto
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 32,404
- 29,811
HiyoView attachment 328960
Hii ni Orodha ya baadhi ya Majina ya Watoto wa Vigogo ambao ama hawapo BOT lakini wanaendelea kulipwa mishahara ama uwepo wao ndani ya Taasisi hiyo hauna tija.
Huyo Pamela mshahara utakuwa unaenda kwa babake kupitia yeye! Babake ndo alisuka diliView attachment 328960
Hii ni Orodha ya baadhi ya Majina ya Watoto wa Vigogo ambao ama hawapo BOT lakini wanaendelea kulipwa mishahara ama uwepo wao ndani ya Taasisi hiyo hauna tija.
Mbona kwenye ile clip huyu Pamela yupo?Sasa unataka nimtoe kwa sababu gani ilhali anaendelea kulipwa mshahara BOT? Ulimsikiliza vizuri Jana Mheshimiwa Rais? Umesoma mada yangu na kuelewa? Au umekurupuka tu kuchangia kwa vile tu kaguswa mtoto wa bosi wako?
Hakika. Mafisadi aliota mizizi sana katika kila sekta. Wanaendelea kutumbuliwaMafisadi kweli wanaitafuna hiii nchi wao na wanao, Magu please do something, tuko nyuma yako kuondoa huu uozo,
Kwa akili zako za kushikiwa unaaiamini hiyo List ya mjinga mwezio Lizaboni? Is it official?Sasa huyu ndo waanze nae maana kuna uwezekano mshahara wake wa bot unaenda kwa babake, jina lake linatafuta nini kwenye payroll ya bot?
Na huu ndio ukweli ambao unapaswa kusemwa waziwziHiyo
Huyo Pamela mshahara utakuwa unaenda kwa babake kupitia yeye! Babake ndo alisuka dili
View attachment 328960
Hii ni Orodha ya baadhi ya Majina ya Watoto wa Vigogo ambao ama hawapo BOT lakini wanaendelea kulipwa mishahara ama uwepo wao ndani ya Taasisi hiyo hauna tija.
Sasa unang'aka nini Mkuu MUSSA ALLAN? We tulia. Mbona kuna mtoto wa Mkapa na wa Mzee Mwinyi? Ningekuwa na dhamira mbaya si ningeondoa hayo majina? Tulia ndugu. Hapa hakuna utaniKwa akili zako za kushikiwa unaaiamini hiyo List ya mjinga mwezio Lizaboni? Is it official?
Ila kiti kimoja tukubali, tanzania karibu kila sehemu, serikalini na binafsi asilimia kubwa watu kupata kazi kwa kiwa na connection na mtu eneo hilo, hivyo kama hao watoto wa vigogo waliumganishwa ila sifa wanazo na kazi wanapiga, sioni tatizo lao ila KUANZIA sasa kama vipi mfumo ubadilishwe ila ni ngumu sana, kubebana kupo pale pale! Cha msingi anayebebwa awe na sifa!
Halafu kuna mdada anadharau kweli alikuwa anabetua midomo wakati JPM anaongea huyo wakutumbua kabisa.Sasa unang'aka nini Mkuu MUSSA ALLAN? We tulia. Mbona kuna mtoto wa Mkapa na wa Mzee Mwinyi? Ningekuwa na dhamira mbaya si ningeondoa hayo majina? Tulia ndugu. Hapa hakuna utani
Mtu mwingine ambaye hakumuelewa Raisi alichokisema jana, ,,Raisi alisema kuna watu wengi ambao wameajiriwa na Benki Kuu lkn hawana kazi yoyote ile na bado wanalipwa mishahara hivyo ni bora na ni lazima waondolewe ili wabakie wachache wanaostahili kuwepo na wanaofanya kazi"!
Hivyo kama kuna mtoto wa mkubwa ambaye anastahili kuwepo hapo Benki basi hataguswa!
Teh teh..Pamela amekuwa dokta siku hizi?Pamela Lowassa, ni daktari pale Muhimbili.
Mtoe kwenye hiyo List yako feki!
Ahsante Mkuu kwa kumbukumbu hii. Kuna watu kama MUSSA ALLAN walikuwa wananishambulia mimi as if hiyo orodha nimeiconstruct
uko sahihi kabisa kamanda...watolewe tu...whether awe CCM au awe CHADEMA kwa sasa
Ingawa hayo maovu yao yote waliyafanya wakiwa CCM
Unajua ni wa nini?
CCM ndiyo inafuga Uovu na wizi katika Nchi hii
Lakini pia ni CCM hiyo hiyo inayosafisha maovu!
Ahahahahahaahaaa... Si kila aendaye Dodoma anakwenda bungeni, wengine Milembe moja hiyoooLowassa ni hatari, weka mbali na rasilimali za nchi.