watoto wa kagame museveni kiir garang wanapatikana jeshini hawa wakwetu wanapatikana kwenye mabenki na kwenye show za diamond, JP yatimue yote ndo hayohayo yanashinda humu JF yakitukana.Mbona watoto wa Nyerere hakuna kabisa, sio tu BOT bali hata sehemu nyeti za serikali.Wao walipatikana Jeshini na wengine sikuwahi wasikia wakifanya kazi inayoeleweka. Mwinyi naona watoto wake woote mashavu tu sehemu nyeti zote serikalini.
Mkuu magufuli hana mtotot mkubwa hivyo.Huyu ni mtoto wa Pombe Magufuli anayesema ni mtoto wa mkulima. Dogo yupo ndani ya mjengo pacha anakula maisha. Ni rafiki mkubwa wa dogo mwingine anayepiga mzigo ndani ya BOT anaitwa Jabir Kigoda. Hawa ndio wanaCCM wanaokula fadhila za chama na si wewe kutwa nzima unapiga makelele JF hata bando kulipata mpaka uvuje jasho. List inayofuata jiangalie wewe unayejiita mwanaCCM kama upo au mawanao wa mtoto wa shangazi yako kama yupo.. Wafuatao ndio wanaCCM;
1.Beatrice Bomani
2.Zakaria Kawawa
3.Salama Mwinyi
6.Salama Mahita
7.Rachel Msekwa
8.Jane Sitta
9.Jasmini Karume
10.Radhia Shein
11.Justina Nchimbi
12.Blasia Benjamin W. Mkapa
13.Jerome Diallo
14.Likele Ngasongwa
15.Andy Magufuli
16.Thomas Mongela
17.Jabir A. kigoda
18.Marry Mramba
19.Ismail Meghji
Huyu Sumaye anasema serikali haijafanya kitu kumbe mwanaye anaajira BOT...bure kabisa akili ya ukawa ni pombe!View attachment 328960
Hii ni Orodha ya baadhi ya Majina ya Watoto wa Vigogo ambao ama hawapo BOT lakini wanaendelea kulipwa mishahara ama uwepo wao ndani ya Taasisi hiyo hauna tija.
Mkuu Lizabon anatafuta wakumkunaPamela Lowassa, ni daktari pale Muhimbili.
Mtoe kwenye hiyo List yako feki!
Sasa unataka nimtoe kwa sababu gani ilhali anaendelea kulipwa mshahara BOT? Ulimsikiliza vizuri Jana Mheshimiwa Rais? Umesoma mada yangu na kuelewa? Au umekurupuka tu kuchangia kwa vile tu kaguswa mtoto wa bosi wako?Pamela Lowassa, ni daktari pale Muhimbili.
Mtoe kwenye hiyo List yako feki!
Pole sana ndugu. Hapa Kazi Tu....katika nchi hii ya magufuli, habari zako za kimombasa peleka huko!.
....ni hao tu ndo uliowaona?
#hapakazitu!
Mkuu magufuli hana mtotot mkubwa hivyo.
Sasa huyu ndo waanze nae maana kuna uwezekano mshahara wake wa bot unaenda kwa babake, jina lake linatafuta nini kwenye payroll ya bot?Pamela Lowassa, ni daktari pale Muhimbili.
Mtoe kwenye hiyo List yako feki!