Watoto wa vigogo na ajira BoT

Watoto wa vigogo na ajira BoT

halafu kumbe hata hii list fake ime-editiwa na kuwa fake square. ni nini hasa yalikuwa madhumuni ya mleta thtread kuondoa haya majina?

1. FILBART SUMAYE,
2. PAMELA LOWASA,

3. ZARIA KAWAWA,
4. HERIETH LUMBANGA,
5. SALAMA MWINYI,
6. RECHAL MUGANDA,
7. SALMA MAHITA,
8. JUSTINA MUNGAI,
9. KENETH NCHIMBI,
10. BLASIA W. MKAPA,
11. VAOLETH LUHANJO,
12. LIKU KATE KAMBA,
13. THOMAS MONGELA na
14. JABIRI KIGODA.

Sioni mtoto wa Magufili hapo.

Kura yangu ni kwa Dr.Magufuli.
 
halafu kumbe hata hii list fake ime-editiwa na kuwa fake square. ni nini hasa yalikuwa madhumuni ya mleta thtread kuondoa haya majina?

1. FILBART SUMAYE,
2. PAMELA LOWASA,

3. ZARIA KAWAWA,
4. HERIETH LUMBANGA,
5. SALAMA MWINYI,
6. RECHAL MUGANDA,
7. SALMA MAHITA,
8. JUSTINA MUNGAI,
9. KENETH NCHIMBI,
10. BLASIA W. MKAPA,
11. VAOLETH LUHANJO,
12. LIKU KATE KAMBA,
13. THOMAS MONGELA na
14. JABIRI KIGODA.
Hata wewe tunakushangaa kuondoa majina kwenye list.ANDY yupo wapi kwenye list yako?
 
Sisi watanzania tunaotaka hoja ZENYE MASHIKO tulijunga humu kwa ajili ya kufuatilia,kujifunza na kushiriki katika za kujenga nchi yetu kakini tunaona sasa Jamii forum Siasa inakuwa jukwaa la mashabiki wa Ukawa na CCM , ,WANATUKANANA ,HAKUNA HOJA ILA USHABIKI . WAMILIKI DO SOMETHING TO BRING BACK THE JAMII FORUM WE ALL LONGED FOR
 
Je? Ukizaliwa na Wazazi Viongozi hauruhusiwi kupata Kazi katika Taasisi ya Umma?
 
Kuna mtu anajifanya anaitetea sana ccm, nataka nimuoneshe the way there is no fair grounds in employment, ye ni mwalimu
 
Pole hautaeleweka kamwe na wanaCCM kindakindaki,hasa ukizingatia CCM imekuwa ya kifamilia zaidi,anayetoa sauti ya nani ateuliwe kwenye Ukuu wa wilaya,mkoa,ubunge lazima familia ikae kujadili.Pole CCM
 
Jamaa yangu usidanganyike mabadiliko kupitia CCM ni ndoto ya mchana kweupe.. mi mwenyewe mwana CCM lakini kura yangu ni kwa Lowasa... ikiwa CCM ilifutilia mbali maoni ya wananchi ktk katiba ni dhahiri kwamba CCM haitakuwa/haipo tayari kufanya mabadiliko yatakayoiumiza.

Maana ili ufanye mabadiliko ni lazima CCM iumie kwani CCM inauroho wa madaraka sana...na vigogo na watoto wao wachache wa CCM ndio wanaomiliki uchumi wa nchi na raslimali.

Usishangae jamaa yangu ni kwamba watanzania wameamua kwa dhati na kwa ujumla wao kuiadhibu CCM kutokana na mfumo wake wa kulindana na kuongeza maadui 2 zaidi Ufisadi na rushwa na kimsingi ukitazama kwa makini Lowassa kaachia ngazi za kiserikali toka 2007 miaka 8 takribani lakini ufisadi umeongezeka maradufu kumbe tatizo sio Lowassa ni mfumo CCM.

Hakuna ushindi bila kampeni; jamaa wamezidiwa sana kampeni kila tope la sisiem wanarushiwa wao, ufisadi, ugonjwa, uvivu, uzezeta,.nk. wao ni mabubu hawaongei kitu wanafanya maonyesho ya mafuriko na mafuriko yameanza kukata. Watu wanashindwa hata kuwazima sisiem midomo na agenda ya katiba ya wananchi yenye maadili waliyoyakataa halafu bado wanasema watamaliza ufisadi na kufunga majizi kwa nyenzo ipi? lazima uwaambie watu kitu kiingieakilini sio kufanya maonyesho watalia pamoja na kwamba upepo unawaelekea ila hawafanyi kampeni kabisa
 
Lakini CCM ni tofauti kabisa na watoto wa vigogo ama vigogo wenyewe. Wao wanakuja na kuondoka lakini CCM itakuwepo. Ni upumbavu na ulofa kufikiri kuwa UKAWA itaiua CCM. CCM bado ni ile ile na makali yake bado ni yaleyale.
 
Mtatafuta pa kupost 26 Oct wakati yenaiyena Lumumba zimeanza>
 
Back
Top Bottom