Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 45,819
- 113,384
Wa kiume si atakuta amehonga ad nyumba [emoji16][emoji16]Kuwa makini, kama ni kazi tafuta hata kijana wa kiume tu ,usije kuingia majaribuni buree
Wa kiume si atakuta amehonga ad nyumba [emoji16][emoji16]Kuwa makini, kama ni kazi tafuta hata kijana wa kiume tu ,usije kuingia majaribuni buree
Mungu wangu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yaani mende aangushe kabati
Nimecheka sanaNimeona
vSwali dogo la ufahamu...una mke..?
Akikutag naomba namimi uniite😂Mkuu Akikujibu nitag
eeh kaka kama Malcom X yani by any means necessary.Duh kurogana tena?!
Eeeh anakamata fursa mapema. Inahuu yeye ahudumie nyumba afu waje waishie kukaa wengineKaona bora yeye tu awe maza hausi maana nyumba imepooza.
bado kanaonyesha kana akili za masharobalo
unakuta hadi mama yake anakapa mbinu 😂 za kunasaNa ndo angekuta mwanaume asiyejitambua; hiyo mbona ingekuwa ndoa ya mkeka. Tena vibinti kama hivyo ukikigusa tu mbona ndo ushaoa
[emoji3] [emoji3] [emoji3] , aisee ila hako kabinti nahisi kameona fursa hivi asije kujaribiwa mkuu, au asiwe na mfanyakazi kabisaWa kiume si atakuta amehonga ad nyumba [emoji16][emoji16]
darasa LA fursa halijakapita😂[emoji3] [emoji3] [emoji3] , aisee ila hako kabinti nahisi kameona fursa hivi asije kujaribiwa mkuu, au asiwe na mfanyakazi kabisa
aaa sawaJamani. ... huu sio uhalisia wangu. ..maandishi ya Jf yasikufanye unihukumu tofauti. .Kuna maisha mengine kabisa nje ya Jf ambayo yapo tofauti na fake life ya humu
Miaka 18-20 mtoto? Pacha unaniangusha aisee sikutegemea
unakuta hadi mama yake anakapa mbinu [emoji23] za kunasa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ejoo mbavu zangu mmEeeh lazima "abuni mbwinu", akipata mtoto ndo mama naye ameshayapatia maisha