Watoto wa siku hizi....

Watoto wa siku hizi....

Nilikuwa na msaidizi wa kazi za nyumbani. Kutokana na majukumu mengine ya kifamilia ikamlazimu aache ila akaniletea mdogo wake.

Huyu mtoto ana umri kati ya miaka 18-20. Dah huyu mtoto ananisumbua balaa! Kwanza alikuwa ananiamkia, ghafla ameanza mambo vipi. Mara nikirudi anataka aingie ndani anipikie(huwa anafanyakazi nje sio ndani,basically nyumba iwe na mtu nikitoka)

Sasa amekuwa so aggressive, siku chache zilizopita nimerudi ananilazimisha nitoke nae 'tukatembee' namwambia nimechoka na kazi eti anasema kazini unakaa kwenye kitu tu unachokaje!

Kali kuliko ni juzi jumamosi nimerudi nikamwambia jpili na jtatu nipo kwahio aje jumanne asubuhi. Akaniambia sawa ila jumatatu Eid njoo nikupikie chakula kitamu, nikajibu sawa,sikutaka Stori ndefu! Sasa hivi kaniibukia eti kwanini hukuja mpaka saa hizi basi nimekuja mimi! Nimemwambia nina wageni ameondoka! Alivyovaa sasa Mungu anamuona!
Nipe namba yake nimgegede chap, acha ujinga mgegede huyo binti
 
Huwezi amini namba yake sina, nawasiliana na dada yake kama nina maagizo, nimegundua nilifanya jambo la maana kutochukua wala kumpa namba yangu. Dawa yake ishachemka nitawapa mrejesho.

Acha banaa, kwahiyoo....

Basi ngoja najua ntakukamatia wapi, ukisikia hodi ujue nimefika.

Sijui kwanini nimejikuta naside na huyo mschana kuhakikisha unaingia 18 zake bila shuruti aaahhahahahahahahhaaa

Kasie Mavurugu.
 
hivi Kasie na wewe huwa unatumia K-Vant?
 
Aaahahahhahahaaaaa looh!!!
Hapana huwa situmii bali ndani ya chemchem yangu kunatoka K-Vant hehehehee usipoangalia unalewa tips aahahahahahaaa jamaaniii looh.

Vipi wewe huwa unatumia...!??

Kasie Mafujo.
 
basi apa mtu anajifanya nice guy...kumbee amendika uzi baada ya kupga bao la kwanza,,na sasa anatafta uungwaji mkono
 
Senior bachelor msaidizi wako kamleta mdogo wake ajaribu bahati yake...

Kaja kwa kazi maalum huyo.

Kama bongo muvi vile...
 
Nilikuwa na msaidizi wa kazi za nyumbani. Kutokana na majukumu mengine ya kifamilia ikamlazimu aache ila akaniletea mdogo wake.

Huyu mtoto ana umri kati ya miaka 18-20. Dah huyu mtoto ananisumbua balaa! Kwanza alikuwa ananiamkia, ghafla ameanza mambo vipi. Mara nikirudi anataka aingie ndani anipikie(huwa anafanyakazi nje sio ndani,basically nyumba iwe na mtu nikitoka)

Sasa amekuwa so aggressive, siku chache zilizopita nimerudi ananilazimisha nitoke nae 'tukatembee' namwambia nimechoka na kazi eti anasema kazini unakaa kwenye kitu tu unachokaje!

Kali kuliko ni juzi jumamosi nimerudi nikamwambia jpili na jtatu nipo kwahio aje jumanne asubuhi. Akaniambia sawa ila jumatatu Eid njoo nikupikie chakula kitamu, nikajibu sawa,sikutaka Stori ndefu! Sasa hivi kaniibukia eti kwanini hukuja mpaka saa hizi basi nimekuja mimi! Nimemwambia nina wageni ameondoka! Alivyovaa sasa Mungu anamuona!
same shit happens to those schoolgirls they want some ding dong but niggas get locked up for doing that lie isnt fair
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom