Watoto wa siku hizi....

Watoto wa siku hizi....

Nilikuwa na msaidizi wa kazi za nyumbani. Kutokana na majukumu mengine ya kifamilia ikamlazimu aache ila akaniletea mdogo wake.

Huyu mtoto ana umri kati ya miaka 18-20. Dah huyu mtoto ananisumbua balaa! Kwanza alikuwa ananiamkia, ghafla ameanza mambo vipi. Mara nikirudi anataka aingie ndani anipikie(huwa anafanyakazi nje sio ndani,basically nyumba iwe na mtu nikitoka)

Sasa amekuwa so aggressive, siku chache zilizopita nimerudi ananilazimisha nitoke nae 'tukatembee' namwambia nimechoka na kazi eti anasema kazini unakaa kwenye kitu tu unachokaje!

Kali kuliko ni juzi jumamosi nimerudi nikamwambia jpili na jtatu nipo kwahio aje jumanne asubuhi. Akaniambia sawa ila jumatatu Eid njoo nikupikie chakula kitamu, nikajibu sawa,sikutaka Stori ndefu! Sasa hivi kaniibukia eti kwanini hukuja mpaka saa hizi basi nimekuja mimi! Nimemwambia nina wageni ameondoka! Alivyovaa sasa Mungu anamuona!

Aaahhahahahahhahaaaa leo unepatikana...... Naomba namba ya huyo binti nimpe mbinu, mwenyewe utaingia laini na mavazi yake yatakuwa dera, atarudi kukuamkia shkamoo na hatokusemesha semesha zaidi ya kuuliza maagizo ya kazi au kujibu uliyomuuliza.

Midlife crisis.... (Sijui Ndo unaandikaga hivyoo, nimekulipizia) Aaahahhahahahahahaaaa

K' Matata.
 
Mkuu safari hii umekuja kimtoto wa kiume na si mwanaume
 
Aaahhahahahahhahaaaa leo unepatikana...... Naomba namba ya huyo binti nimpe mbinu, mwenyewe utaingia laini na mavazi yake yatakuwa dera, atarudi kukuamkia shkamoo na hatokusemesha semesha zaidi ya kuuliza maagizo ya kazi au kujibu uliyomuuliza.

Midlife crisis.... (Sijui Ndo unaandikaga hivyoo, nimekulipizia) Aaahahhahahahahahaaaa

K' Matata.
Huwezi amini namba yake sina, nawasiliana na dada yake kama nina maagizo, nimegundua nilifanya jambo la maana kutochukua wala kumpa namba yangu. Dawa yake ishachemka nitawapa mrejesho.
 
Mtoto mizuka imempanda mzee baba anambania
Sasa ndiyo ugundue wao wameumbwa na soni kutongoza kwao ndiyo hivyo. ..

Kinyume chake Wa kiume angebaka au kulazimisha. Kwanini usitafute wa kiume?

Wewe huna kabisa shangazi anayekuja hapo frekwentiliiii
 
Sumaku hazijakusana mkuu ni north kwa north
Sasa Mzee mwenzangu mbona unaniangusha?
Labda uniambie huyo mtoto ni mbaya lakn kama mashallah, unataka nini? Tafuna mtoto huyo
 
Nilikuwa na msaidizi wa kazi za nyumbani. Kutokana na majukumu mengine ya kifamilia ikamlazimu aache ila akaniletea mdogo wake.

Huyu mtoto ana umri kati ya miaka 18-20. Dah huyu mtoto ananisumbua balaa! Kwanza alikuwa ananiamkia, ghafla ameanza mambo vipi. Mara nikirudi anataka aingie ndani anipikie(huwa anafanyakazi nje sio ndani,basically nyumba iwe na mtu nikitoka)

Sasa amekuwa so aggressive, siku chache zilizopita nimerudi ananilazimisha nitoke nae 'tukatembee' namwambia nimechoka na kazi eti anasema kazini unakaa kwenye kitu tu unachokaje!

Kali kuliko ni juzi jumamosi nimerudi nikamwambia jpili na jtatu nipo kwahio aje jumanne asubuhi. Akaniambia sawa ila jumatatu Eid njoo nikupikie chakula kitamu, nikajibu sawa,sikutaka Stori ndefu! Sasa hivi kaniibukia eti kwanini hukuja mpaka saa hizi basi nimekuja mimi! Nimemwambia nina wageni ameondoka! Alivyovaa sasa Mungu anamuona!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom