


Kuweka heshima ni kumgegeda? Hell no...sitembei na watoto. Naweka heshima kwa kutotembea nae.
Ha ha ha humu mmejaa mabazazi tu! Ngoja nimtafutie siku nimpe warning kaliBro miaka 20 kwa mujibu wa katiba ya Jamhuri ya muungano wa Tanzani ni mzima mwenzako...hata ukiamua kutangaza ndoa....tutakuchangia bila kinyongo..
Anyway...hapo ni kumgegeda au kumkanya hadharani na kumuonyesha ni namnangani hupendezwi na tabia zake..
Options hapo ni mbili...unaweza kuchagua yenye urahisi kwako...
Ila..dah...mbuzi anafia kwa muuza supu halafu hubandiki chungu jikoni..???![]()
Acha kumpotosha mwenzako kupata msaidizi wa kazi kama huyo aliye nae kwa sasa atasota hadi akae hapo chini bahati haiji mara mbili acha aichezee atajua mwenyewe!Sasa ndiyo ugundue wao wameumbwa na soni kutongoza kwao ndiyo hivyo. ..
Kinyume chake Wa kiume angebaka au kulazimisha. Kwanini usitafute wa kiume?
Wewe huna kabisa shangazi anayekuja hapo frekwentiliiii
At least wewe unafikiri kama mimi
Kwani una cheti chake cha clinic? 18-20 ana utoto gani? Hata sheria zinamtambua ni mtu mzima huyo.Katoto haka
Duh hii kama kweliHako ni ka " KONKI" Cha uswahilini, hapo umetegeshwa tiyari, unakuta mama , baba na mashangazi tiyari wameshajua mtoto kapata jiko na hapo unawindwa kwa kila mbinu hata makombora ya kienyeji unaweza kudhani kapo peke yake kumbe kuna jeshi la makungi wapo nyuma yake. Kama ulishaapa eti nitaoa msomi mwenzangu ndivyo baadhi ya watu wamejikuta kwenye ndoa za malimbwata. Ukijaribu kula chakula alichopiga ama ukikubali kakuvulie uonye hilo embe mawazo lake umekwisha.
Hata mimi nimefanyaje? Sema tu hujakapenda lakini kusema ni katoto walah hiyo excuse nimeikataaDuh hata wewe....