Jamani. ... huu sio uhalisia wangu. ..maandishi ya Jf yasikufanye unihukumu tofauti. .Kuna maisha mengine kabisa nje ya Jf ambayo yapo tofauti na fake life ya humuNawewe uko ivo kumbe
Kwamba nimtafune halafu nimfukuze kazi? Kumbe na wewe mkatili hivi
HahahaaaBro miaka 20 kwa mujibu wa katiba ya Jamhuri ya muungano wa Tanzani ni mzima mwenzako...hata ukiamua kutangaza ndoa....tutakuchangia bila kinyongo..
Anyway...hapo ni kumgegeda au kumkanya hadharani na kumuonyesha ni namnangani hupendezwi na tabia zake..
Options hapo ni mbili...unaweza kuchagua yenye urahisi kwako...
Ila..dah...mbuzi anafia kwa muuza supu halafu hubandiki chungu jikoni..???![]()
Hahaha. ..yaani kuachana na mtu ndio akuroge '... kwani mahusiano si hiyari ya mtuMnatafutaga kulogwa wenyeweeeee!
Sasa kumtafuna na kumpiga chini maanake nini? Nikimtafuna si ndio nimetimiza lengo lake, na ataomba kulala kabisa?!Mmh sio kazi bwana. ... !! Utamuachisha vipi kazi mtu ambaye hajakufanyia Ubaya wa aina yoyote. .... mkuu '' Hiyo ni zaidi ya dhambi
Nilikuwa na msaidizi wa kazi za nyumbani. Kutokana na majukumu mengine ya kifamilia ikamlazimu aache ila akaniletea mdogo wake.
Huyu mtoto ana umri kati ya miaka 18-20. Dah huyu mtoto ananisumbua balaa! Kwanza alikuwa ananiamkia, ghafla ameanza mambo vipi. Mara nikirudi anataka aingie ndani anipikie(huwa anafanyakazi nje sio ndani,basically nyumba iwe na mtu nikitoka)
Sasa amekuwa so aggressive, siku chache zilizopita nimerudi ananilazimisha nitoke nae 'tukatembee' namwambia nimechoka na kazi eti anasema kazini unakaa kwenye kitu tu unachokaje!
Kali kuliko ni juzi jumamosi nimerudi nikamwambia jpili na jtatu nipo kwahio aje jumanne asubuhi. Akaniambia sawa ila jumatatu Eid njoo nikupikie chakula kitamu, nikajibu sawa,sikutaka Stori ndefu! Sasa hivi kaniibukia eti kwanini hukuja mpaka saa hizi basi nimekuja mimi! Nimemwambia nina wageni ameondoka! Alivyovaa sasa Mungu anamuona!







We nae unaonekana unafurahia michezo yake na inakufurahisha haswa ilameamua kulileta humu ili tujue kwamba kuna katoto kanakupelekesha mperampera mikono juu mwendo wa mateka.maana umeulizwa kuwa umelileta humu ili tukushauri au umegoma haya umeambiwa nini cha kufanya bado unagoma sasa amua mwenyewe hukohuko maana unakafuga mwenyewe utajiju nako hukohuko






dahSi umsaidie jamani
Halaf hukupaki gari ulivyofika![]()



hakupanda ngazi wakati anaingia ndani?Mzee afu hujaoaDuh imagine ni mtoto wako utafurahi akiwa na mzee kama mimi? Hii ni kama situation ya mtoto na mwalimu
UziNini kimekufurahisha?