Watoto wa siku hizi....

Watoto wa siku hizi....

Angekuwa suitable candidate tusingekuwa tunajadili hii mada
kaitishe kikao kimoja kikali kachague kazi au mapenzi kakisema mapenzi kaambie kaende kwa visuka nywere 😂😂
 
Acha kumpotosha mwenzako kupata msaidizi wa kazi kama huyo aliye nae kwa sasa atasota hadi akae hapo chini bahati haiji mara mbili acha aichezee atajua mwenyewe!
Ni kweli, si rahisi kupata mtu na huyu kaja kum-replace dada yake
 
Hakuna.....hivi vya umri huu ndiyo vitamu na vjnajituma kitandani balaa..
We sema tu vile jamaa hataki..

Lakini huyo ni mbuzi kafia kwa muuza supu...kazi hapo ni muuza supu tu kubandika chungu jikoni...
Nikikufuma na mdogo wangu utajuta.
 
Nilikuwa na msaidizi wa kazi za nyumbani. Kutokana na majukumu mengine ya kifamilia ikamlazimu aache ila akaniletea mdogo wake.

Huyu mtoto ana umri kati ya miaka 18-20. Dah huyu mtoto ananisumbua balaa! Kwanza alikuwa ananiamkia, ghafla ameanza mambo vipi. Mara nikirudi anataka aingie ndani anipikie(huwa anafanyakazi nje sio ndani,basically nyumba iwe na mtu nikitoka)

Sasa amekuwa so aggressive, siku chache zilizopita nimerudi ananilazimisha nitoke nae 'tukatembee' namwambia nimechoka na kazi eti anasema kazini unakaa kwenye kitu tu unachokaje!

Kali kuliko ni juzi jumamosi nimerudi nikamwambia jpili na jtatu nipo kwahio aje jumanne asubuhi. Akaniambia sawa ila jumatatu Eid njoo nikupikie chakula kitamu, nikajibu sawa,sikutaka Stori ndefu! Sasa hivi kaniibukia eti kwanini hukuja mpaka saa hizi basi nimekuja mimi! Nimemwambia nina wageni ameondoka! Alivyovaa sasa Mungu anamuona!
Hizi opportunities huwa zinanitokea rarely sana ila huwa nazitumia effectively kweli kweli.
 
Mnatuharibia wadogo zetu
Miaka 20 ni binti mkubwa..ana hips kama zote, makalio kama yoye, nyonyo kaka zote.....yaani ile shape ya kichokozi imeshakuja. ....

Kwa nini tusijilie polepole, then tushushie na coke ya baridi..?
 
Bro miaka 20 kwa mujibu wa katiba ya Jamhuri ya muungano wa Tanzani ni mzima mwenzako...hata ukiamua kutangaza ndoa....tutakuchangia bila kinyongo..

Anyway...hapo ni kumgegeda au kumkanya hadharani na kumuonyesha ni namnangani hupendezwi na tabia zake..

Options hapo ni mbili...unaweza kuchagua yenye urahisi kwako...

Ila..dah...mbuzi anafia kwa muuza supu halafu hubandiki chungu jikoni..???
PRONDO siyo mpika supu ni mpika chapati.
 
na hapo bado hujui is it crush is it love or she is just obsessed with me muonye tu mkuu kama ni crush itaisha over time na kutakuwa na amani tu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom