Watoto wa kishua hawezi elewa hii mambo

Na sisi watoto wa kishua tulikua tunamitihani yetu...mfano unaenda kukodi mkanda wa X ile unautumbukiza tu kwnye deki baba kaenda kazin...ghafla umeme unakatika mkanda unakaa humohumo na umeme unarud saa 2 usiku mshua nae anakua seblen tayar
Mi sio wa kishua ila iliwahi nikuta hii,, kuna jamaa yangu aliweka vitu vyake kwenye begi langu kumbe kuna picha la x humo,, kulicheki nikavizia hamna mtu nikaanza kuona kideo ghalfa si muda umeme ukakatika, mi nilitoa nyaya nikazificha nikaenda ground kupiga ball kurudi nikakuta wanatafuta nyaya nikajidai nawasaidia kumbe navizia nichukue zaga nisepe nalo,, nikafanikisha kisha nikawarudishia nyaya, sema mzee alinizingua kidogo akapoa tofauti na angekuta lile zaga I'm sure angenipiga kama mwizi.
 
Na sisi watoto wa kishua tulikua tunamitihani yetu...mfano unaenda kukodi mkanda wa X ile unautumbukiza tu kwnye deki baba kaenda kazin...ghafla umeme unakatika mkanda unakaa humohumo na umeme unarud saa 2 usiku mshua nae anakua seblen tayar
Hpk deki inawekwa kwenye bag, tunatafuta umeme ulipo...sikuwahi kufeli kwenye hili
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom