Watoto wa kishua hawezi elewa hii mambo

Watoto wa kishua hawezi elewa hii mambo

Sasa ile chai ya kupika na kuni ina harufu ya moshi kwa mbali na kiubaridi cha kijijini kwenye kikombe cha plastic cha Made in Kenya [emoji1][emoji1][emoji1].. aseee dunia ipite tuu
Dah tunatoka mbali sana, watoto wa kizazi hiki sijui kama wanajua mambo ya viporo vya ugali hawa. 😀😀
 
Na sisi watoto wa kishua tulikua tunamitihani yetu...mfano unaenda kukodi mkanda wa X ile unautumbukiza tu kwnye deki baba kaenda kazin...ghafla umeme unakatika mkanda unakaa humohumo na umeme unarud saa 2 usiku mshua nae anakua seblen tayar
Iliwahi kututokea mara mbili tupo na wana sebuleni, nikatoa wazo kwa braza akalipokea, nikamwambia hiyo tutembee nayo halafu ile mbovu tuitegeshe hapo, tukafanya hivyo. Umeme umekuja kurudi saa mbili na nusu hivi Mkulu yupo kideoni. Hakustuka
 
hahhah nsasa mboga flani ivi ya kienyeji mkuu, wanakausha majani ya kunde au kisanvu then wakiyapika yanakuwa meusi flani ivi.. sokoni yapo sanaaa.. nikuambie ilikuwa hataree enzi hizo!!
Duh hii mboga siifahamu ila inaonekana ilikua poa sana ukipiga na poro la ugali mambo yanakua mazuri, kitumbo kimejaa😀😀
 
Iliwahi kututokea mara mbili tupo na wana sebuleni, nikatoa wazo kwa braza akalipokea, nikamwambia hiyo tutembee nayo halafu ile mbovu tuitegeshe hapo, tukafanya hivyo. Umeme umekuja kurudi saa mbili na nusu hivi Mkulu yupo kideoni. Hakustuka
Ha ha ha...
Aisee ushuani nako kuna changamoto zake na ni lazima zikukuze kiakili sana tu.

Unakuta dingi mkali hatak mtu aguse Tv hadi yeye akirudi kazin, akiondoka mnaenda kukodi mkanda mnakaa seblen mnachek picha na bahat mbaya mkanda unang'ang'ania.

Mbilinge lake akirudi mshua Baba Ubaya hagusi
 
Duh hii mboga siifahamu ila inaonekana ilikua poa sana ukipiga na poro la ugali mambo yanakua mazuri, kitumbo kimejaa😀😀
nakuambia hataree unakuta Nguna imeshapoa maanake ya jana night, na mboga yenyewe nsasa yani balaa tupu , sema allah anakuwaga na sisi wanyonge kwenye mazari kama haya!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom