Watoto wa kishua hawezi elewa hii mambo

Watoto wa kishua hawezi elewa hii mambo

Bakulutu

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2011
Posts
2,596
Reaction score
1,865
IMG_6580.jpg

Kuna tatizo?
 
Na sisi watoto wa kishua tulikua tunamitihani yetu...mfano unaenda kukodi mkanda wa X ile unautumbukiza tu kwnye deki baba kaenda kazin...ghafla umeme unakatika mkanda unakaa humohumo na umeme unarud saa 2 usiku mshua nae anakua seblen tayar
 
Kudadeeeeekiii aseee balaaa na nusu[emoji2307][emoji2307]
 
Na sisi watoto wa kishua tulikua tunamitihani yetu...mfano unaenda kukodi mkanda wa X ile unautumbukiza tu kwnye deki baba kaenda kazin...ghafla umeme unakatika mkanda unakaa humohumo na umeme unarud saa 2 usiku mshua nae anakua seblen tayar
Duh sijui unaificha wapi sura yako akii🤔
 
Hiyo mbona me nilikuwa naielewa sana. Tena nipate na lost asubuhi yaani hata kama kuna vitafunwa vingine me nipeni ugali.
 
Dah bonge la breakfast hiloo, ila kiukweli nilikua nakula huku nimemind kinoma[emoji3][emoji3]. Chai ya rangi siipendagi hadi kesho.

Sasa ile chai ya kupika na kuni ina harufu ya moshi kwa mbali na kiubaridi cha kijijini kwenye kikombe cha plastic cha Made in Kenya [emoji1][emoji1][emoji1].. aseee dunia ipite tuu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom