Watoto wa kike wa mtaani kwetu wanatoa balaa!

Watoto wa kike wa mtaani kwetu wanatoa balaa!

Kama ww sio Mnafiki na hutumii condom unatumia njia gan ili kujizuia na magonjwa ambukizi?
Mimi kwa kweli mkuu yangu nimjue mwanamke mpaka umri huu condom naziona madukani tu, kifupi situmii kitu. Mi naloweka tu kwa kweli..........
 
Nilivyopata likizo mwezi April nikaamua nirudi nyumbani kwa wazazi kuila likizo yangu huku nikiwa namuuguza dingi maana ni zaidi ya miaka 4 nipo mkoani kikazi.

Mitaa ya home kumebadilika sana, vijana wote tuliokuwa pamoja na kusoma nao wote wamekuwa watu wazima wengi wana familia zao wachache bado.

Kilichonishangaza zaidi ni hili kundi jipya la vibinti under 20 ambao wapo wengi sana na kazi yao kubwa ni kugawa uroda bila kujali anampa nani, mwanzoni nilikuwa sijastuka maana nikaona ichi kitonga na likizo yangu inanoga kwa jinsi ninavyowagonga, pia nikajua labda wanashoboka kisa nimekuja na vihela vyangu na kuwalingishia gari.

Nimekuja kugundua kumbe wanashindana kupanga wanaume maana hata pesa yenyewe wanaomba eti buku ikizidi elfu 5, nikaona sio sawa labda I'm too old for these teenage girls issue's.

Nikakutana na my ex ambaye tayari ameshaolewa, we drunk making stories na kukumbushiana mambo mengi of coz nilipasha kiporo ndipo na yeye aliponiambia tabia mpya iliyoibuka ya watu kupeana uroda mtaani bila kujali na aliniadithia visa vingi sana.

Haloo likizo yangu ilikuwa more than a vacation
Mitaa ya wapi na mimi nije likizo huko ?
 
General Galadudu njoo huku please
337651.jpg
Mmm
 
Umeshangaa nini sasa?!!! Nini tofauti yako na hivyo visichana vinavyogawa uroda?
 
Ngwengwe umepima?
Ngwengwe sijapima ,ila hiyo nahau maana yake ni TB kama sijakosea na dalili za ngwengwe zinajulikana mathalan kama una maanisha mbwai (Ukimwi)
Ukimwi siwezi pima coz technical there is now ukimwi in real life
 
Sasa unawasema nini hao mabinti???? Wao wanagawa uroda hovyo nawewe unawagawia dyudyyu hovyo....

Mpo kwenye kundi moja
Soma kichwa cha habari na utafakari vizuri Mjomba, ndio maana hata waziri wako ameamuru radio zote zisome vichwa vya habari tu coz ndio vilivyobeba tukio zima and the rest is the story.

You can be a good teacher but not a role model...period
 
Nyani haoni. . .?

Sisi binadamu ni experts wa kujudge wanayofanya wenzetu,yetu wala hatuyaoni

Binadamu mwenzetu huyu tumuelewe [emoji28]
All you need, is to understand that this is a WIN LOOSE situation

Wanawake they don't need sex ,men we are the one who need it mostly

Hahahah najua unajua lakini unahitaji kujua zaidi...the rest is story
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom