miss_blossom
JF-Expert Member
- Sep 16, 2016
- 1,607
- 2,155
Kama ww sio Mnafiki na hutumii condom unatumia njia gan ili kujizuia na magonjwa ambukizi?Mwanaume kujiamini Kamanda, maana wadau wengi wanafiki wanajifanya wanatumia ndomu kumbe wapi......
Kama ww sio Mnafiki na hutumii condom unatumia njia gan ili kujizuia na magonjwa ambukizi?Mwanaume kujiamini Kamanda, maana wadau wengi wanafiki wanajifanya wanatumia ndomu kumbe wapi......
Lakini mi naona kama anasifia Fulani hivi na kwamba alenjoy nadhani anatamani kurudi tens au likizo isiisheNyani haoni. . .?
Sisi binadamu ni experts wa kujudge wanayofanya wenzetu,yetu wala hatuyaoni
Binadamu mwenzetu huyu tumuelewe [emoji28]
Wapi huko poti na sisi tuje inaelekea kuna mambo matamuNilivyopata Likizo mwezi April nikaamua nirudi nyumbani kwa wazazi ,kuila likizo yangu huku nikiwa namuuguza dingi maana ni zaidi ya miaka 4 nipo mkoani kikazi
Mitaa ya home kumebadilika sana ,vijana wote tuliokuwa pamoja na kusoma nao wote wamekuwa watu wazima wengi wana familia zao wachache bado
Kilichonishangaza zaidi ni hili kundi jipya la vibinti under 20 ambao wapo wengi sana na kazi yao kubwa ni kugawa uroda bila kujali anampa nani, mwanzoni nilikuwa sijastuka maana nikaona ichi kitonga na likizo yangu inanoga kwa jinsi ninavyowagonga,pia nikajua labda wanashoboka kisa nimekuja na vihela vyangu na kuwalingishia gari
Nimekuja kugundua kumbe wanashindana kupanga wanaume maana hata pesa yenyewe wanaomba eti buku ikizidi elfu 5, nikaona sio sawa labda I'm too old for these teenage girls issue's
Nikakutana na my ex ambaye tayari ameshaolewa ,we drunk making stories na kukumbushiana mambo mengi of coz nilipasha kiporo ndipo na yeye aliponiambia tabia mpya iliyoibuka ya watu kupeana uroda mtaani bila kujali na aliniadithia visa vingi sana
Haloo likizo yangu ilikuwa more than a vacation
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Acha uchoyo mkuu tupe location ya mtaa wako na sisi tufaudu 😀😀😀
Ila yeye hajajiweka kama kundi bayaLakini mi naona kama anasifia Fulani hivi na kwamba alenjoy nadhani anatamani kurudi tens au likizo isiishe
Nakuomba ubadilishe profile pic yako, maana inasumbua sana moyo wangu nikiiona, please NakuombaIla yeye hajajiweka kama kundi baya
Ulitumia kondom au ulitembelea reli?
Nipe ramani, wapi huko niende nikahubiri?
na ukitaka kula kubali kuliwa...Kizuri kula na wenzio hebu watajie mtaa nao wagawiwe mema ya nchi hii
Ndio Mimi Mkuu.Mkuu wewe si ulikuwa Yonah Uliyekimbia kule Ninawi..?
ok sawaNdio Mimi Mkuu.