Daaah hawa watu hawa!!na mbona wawaharibu watoto katika umri mdogo hivi!?
Bila shaka watakuwa wakiwaambia kila mmoja katika familia yake "nataka mwanangu ukiwa mkubwa uwe mtu hatari sana uwaue makafiri wotee dunia" wakati wazazi wema wakiwafunza vijana wao kuwa wema watakaokuwa tunda la jamii nzima,ama kweli duniani kuna maajabu mengi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.