Watoto wa Alshabab walivoadhimisha Eid

Watoto wa Alshabab walivoadhimisha Eid

Israeli-brutality.jpg
wapi,hio?
 
mabunduki yenyewe hayauwi botion
Wawe wanahusiana na Al Shabaab au la, kumbuka "bunduki iliyo kichwani mwa mtu ina nguvu kuliko iliyo mikononi mwake."

Usiniambie hujui mambo yanayomjenga mtoto kuwa mkorofi. Labda hujawahi kulea, maana vitabu vya malezi na malezi halisi havifanani.
 
Kwanini hayo hatuyaoni katika Buddhism? Au katika Hinduism? Au katika Atheism? Au katika Paganism? au katika jamii yoyote ya binadamu zaidi ya huko? Something is wrong somewhere badala ya kuwa wakweli tunaweka unafiki! Sawa dini husika haiko hivyo, basi wanaoiharibu wakemewe kwa ukali na ikiwezekana wapigwe vita na wenye dini yao kwa nguvu zote!
Hao sio waislam, na hawana sifa za mujahedeen, kwa kuwa wengi wanafanya ujambazi na kuishi kwa kupora kwa kisingizio cha jihadi. Kifupi hao wanaojiita wafia Dini enzi za mtume waliitwa Mabedui, na kazi yao kuu ni unyang'anyi.
 
Badala ya kuwafundisha na kuwakuza watoto katika njia impendezayo Mungu wao wanawajaza upumbavu. Akili za kishetani hizo.
Halafu wanakuja kusema hao sio Waislam....hahahaaaa
 
Badala ya kuwafundisha na kuwakuza watoto katika njia impendezayo Mungu wao wanawajaza upumbavu. Akili za kishetani hizo.
usipanic, wanadai uhuru wao

hata sudan kusini walipokuwa hawajapata uhuru ungekuja na comment kama hii
 
usipanic, wanadai uhuru wao

hata sudan kusini walipokuwa hawajapata uhuru ungekuja na comment kama hii
Uhuru gani wanaoukosa waislam duniani kote wapo na wanafanya imani zao bila shida!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom