kwanini hawa watu wanakuwa hivi?tumeshuhudia kalibu kila kona ya ulimwengu? mungu wanaye mwabudu ni yupi basi? shetani ndio mungu wao! Maana Mungu wa kweli hawafundishi watu visasi wala vita na roho mbaya bali upendo na amani! ndivyo ilivyo kama unataka kulia lia! kama unanuna nuna! lakini huko hakuna Mungu wakweli bali shetani ndio anaye abudiwa!
Jay One;Uzao wa shetani..!!
Hakuna uzao wa shetani Ila sisi wenyewe tunafanya ushetani, mambo ya kumsingizia shetani kwenye vitu ambavyo tuna uwezo navyo ni kosa ambalo tunastahili kuadhibiwaUzao wa shetani..!!
Wakitoka hapo watasema wamekosa elimu kwasababu ya mfumo kristu..
Hivi Kwani kule Burma wanaofanya mauaji ni waislam?Hitler nae aliyeua mamilioni ya mayahudi ni muislam?wauaji hawana dini hakuna dini inafundisha mauaji na ukatili. Kwa taarifa yako uislam kwenye swala la vita upo wazi miongoni mwa sheria za vita haruhusiwi kuua mwanamke, mtoto na hata mzee.Kwanini hayo hatuyaoni katika Buddhism? Au katika Hinduism? Au katika Atheism? Au katika Paganism? au katika jamii yoyote ya binadamu zaidi ya huko? Something is wrong somewhere badala ya kuwa wakweli tunaweka unafiki! Sawa dini husika haiko hivyo, basi wanaoiharibu wakemewe kwa ukali na ikiwezekana wapigwe vita na wenye dini yao kwa nguvu zote!
Hawa nasikitika sana nionapo watoto wanapewa toy guns. psychologically tunawaharibu sana hawa watoto. Nimewahi kugombana sana with my brother because of these stuffsHata kwetu mpo wenye tabia ya kuwanunulia watoto midori ya bunduki badala ya baskeli,Gari au vifaa vya shule. Hao ni wauaji watarajiwa.
Ok ila Uislam hauko hivyo hayo yafanywayo na hao yako mbali na Uislam uislam umekuja kuwa ni Rehma kwa viumbe vyote
Hivi Kwani kule Burma wanaofanya mauaji ni waislam?Hitler nae aliyeua mamilioni ya mayahudi ni muislam?wauaji hawana dini hakuna dini inafundisha mauaji na ukatili. Kwa taarifa yako uislam kwenye swala la vita upo wazi miongoni mwa sheria za vita haruhusiwi kuua mwanamke, mtoto na hata mzee.
Sasa fuatilia historia ya mashambulizi la hao magaidi uone je wanatekeleza hivyo? jibu bila shaka ni hapana.
Kwahiyo they have nothing to do with Islam.
Wakati yote wayatendayo hutenda kwa jina la dini na Mungu.Halafu wanakuja kusema hao sio Waislam....hahahaaaa
al shabab na uislam ni vitu viwili tofauti, uliza post uliyoniqoute kitu usichoelewa nikufafanulieUhuru gani wanaoukosa waislam duniani kote wapo na wanafanya imani zao bila shida!!