Watoto wa Alshabab walivoadhimisha Eid

Watoto wa Alshabab walivoadhimisha Eid

mtoto wa samaki hafundishwi kuogelea lakini sio hivi.
 
Niliangalia documentary moja aljazeera jinsi majahedeen yanavyowafundisha watoto matumizi ya siraha huku wa kitaja jina LA mungu wao yaan hatar sana vitoto vidogo vinajua kila kitu kuhusu siraha
 
Badala ya kuwafundisha na kuwakuza watoto katika njia impendezayo Mungu wao wanawajaza upumbavu. Akili za kishetani hizo.
Upumbavu ni kujua huna upumbavu kama wewe
 
hivi kama anakua anashika mijegejo hvyo hata kama ni plastic akiwa mkubwa unafikir anaweza kua daktar kwel?
 
jewish-terrorists.jpg
.
settler_child_weapon.jpg
.
YoungJewishPsychosBeingBreed.jpg
 
Sikubaliani na Walichokifanya hao kwa hao Watoto
Lakini Sikubaliani zaidi na Comment yako

Uzao wa shetani, dini ya shetani, ukatae ndio hivyo, na unaruhusiwa kukataa.. it is legal..!! And you have a right to do so... likewise i have a right kusema hivyo..!!
 
Uzao wa shetani, dini ya shetani, ukatae ndio hivyo, na unaruhusiwa kukataa.. it is legal..!! And you have a right to do so... likewise i have a right kusema hivyo..!!

Ok ila Uislam hauko hivyo hayo yafanywayo na hao yako mbali na Uislam uislam umekuja kuwa ni Rehma kwa viumbe vyote
 
Ok ila Uislam hauko hivyo hayo yafanywayo na hao yako mbali na Uislam uislam umekuja kuwa ni Rehma kwa viumbe vyote
Kwanini hayo hatuyaoni katika Buddhism? Au katika Hinduism? Au katika Atheism? Au katika Paganism? au katika jamii yoyote ya binadamu zaidi ya huko? Something is wrong somewhere badala ya kuwa wakweli tunaweka unafiki! Sawa dini husika haiko hivyo, basi wanaoiharibu wakemewe kwa ukali na ikiwezekana wapigwe vita na wenye dini yao kwa nguvu zote!
 
Hayo matoto yameshaharibika, hayafai kukaa na jamii nyingine.
Hayana tofauti na mbwa Mkuu! Dunia tayari imeingia hasara kwa kuwa na mijitu ya aina hiyo; kutwa kucha wao ni kumwaga damu bila sababu!
 
Kwanini hayo hatuyaoni katika Buddhism? Au katika Hinduism? Au katika Atheism? Au katika Paganism? au katika jamii yoyote ya binadamu zaidi ya huko? Something is wrong somewhere badala ya kuwa wakweli tunaweka unafiki! Sawa dini husika haiko hivyo, basi wanaoiharibu wakemewe kwa ukali na ikiwezekana wapigwe vita na wenye dini yao kwa nguvu zote!

Yako yanaonekana Sema hayatangazwi kama upande huu hivi nikuulize Mauwaji ya Rwanda kuna Sheik alie buruza mahakamani vipi Mapadre je ilisemwa kwa nguvu hii itumikayo huku
Haya vipi kuhusu kundi la Antibaraka je unadhani mambo liloyafanya ni Madogo na je unadhani yalitangazwa kama ifanywavyo huku
Na jee vipi kuhusu wafanyiwayo waislam Duniani unadhani iko haki
Mpaka utoe maneno makali kiasi hiko
Bro shetani hana Kizazi bali ana Wafuasi na ndo maana utaona leo maandiko yanabadilishwa ili kuhalalisha u gay
 
Badala ya kuwafundisha na kuwakuza watoto katika njia impendezayo Mungu wao wanawajaza upumbavu. Akili za kishetani hizo.
Wewe unajuaje kwamba hicho wanachowafundisha sicho kinachompendeza Mungu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom