Watoto ni liabilities jamani na si assets dah!

kampuni nyingi ambazo hutoa huduma 'services' hutegemea wafanyakazi wake kama wazalishaji wakuu na sio mitambo kama ilivyo kwenye production industry. Lakini kampuni hizi zinashindwa kuweka wafanyakazi kama asset kwenye balance sheet zao, kwa kuwa watu hawa-fit kwenye definition ya asset ambayo inakepengele cha Ku-control! Vivo hivyo watoto hawafit kwenye asset dfntn!
 
he heeee kumbe wewe ndi mnao amini kuwa magari ni assets na utajiri....lol
hongera sana....

corrola nayo ni asset??? sina uhakika na luxury cars like ferari
but as far as ninavyojua,gari zote ni liabilities...
wajuzi zaidi wanaweza changia...

dah! kweli unakipaji cha kubishana!! gari likawa liability?!! .......au ww unaongelea gari la kukodisha?!!
 
dah! kweli unakipaji cha kubishana!! gari likawa liability?!! .......au ww unaongelea gari la kukodisha?!!

Kwa nini gari lisiweze kuwa liability? The moment you move that car out of the lot it starts depreciating and the longer you keep and use it the more negative equity you incur.

So Boss is right on the money.
 
wewe hujui kitu
na umekariri......ndo maana unawatumia watu hapa badala ya kutonesha hiyo mba yako
uliyosomea ulielewa nini????
hahahahahah....Kati yangu mimi na wewe nani hajui kitu? Huoni kila mtu kashangazwa na definition yako?
Kwenye kudiscuss maswala ya mapenzi unafanya vizuri sana but when it comes ni kuongelea nondo..upo shallow sanaaa!
 
dah! kweli unakipaji cha kubishana!! gari likawa liability?!! .......au ww unaongelea gari la kukodisha?!!

wewe endelea kubishana
hata nyumba inaweza kuwa a liability....
nyinyi bado mko nyuuma mno kwenye haya mambo.....

nini assets na nini ni liabilities.....ni topic kubwa saana.....

kwa ufupi asset yeyote ile inaweza kuwa ni a liability.....

bisha na hilo.....
 
Kwa nini gari lisiweze kuwa liability? The moment you move that car out of the lot it starts depreciating and the longer you keep and use it the more negative equity you incur.

So Boss is right on the money.

nn
unanivunja mbavu hapa..
mwanafunzi wako rejao unamvua nguo lol......
 
hahahahahah....Kati yangu mimi na wewe nani hajui kitu? Huoni kila mtu kashangazwa na definition yako?
Kwenye kudiscuss maswala ya mapenzi unafanya vizuri sana but when it comes ni kuongelea nondo..upo shallow sanaaa!

kumbe huwa unajaribu kunipima?
eti nondo..what nondo?????

unafikiri nondo ni kukariri na kuja hapa jf??????/

hivi wewe umewahi hata kunua hisa wewe?
unajua maana ya bond????
hata mlango upi unaanzia wa kuanzisha benki tz unaujua??????
nikikwambia nina benki yangu inakuja ?unaweza kunipima vipi hapo????
 
wewe endelea kubishana
hata nyumba inaweza kuwa a liability....
nyinyi bado mko nyuuma mno kwenye haya mambo.....

nini assets na nini ni liabilities.....ni topic kubwa saana.....

kwa ufupi asset yeyote ile inaweza kuwa ni a liability.....

bisha na hilo.....
Naona leo niendelee kukupa elimu...Asset haiwezi kuwa liability at the same time...linachotokea ni kwamba..unachoripoti wewe kama asset, mwenzako anakiripoti kama liability.
MFANO mikopo ya Bank... kwako wewe unayechukua bank mkopo unakuwa na liability...lakini bank the same mkopo inaripoti kama Asset
 
sasa ndo umeongea nini?
umeona ulivyo kariri????????
unajitia aibu mno....
wewe kariri....
walioelewa wana take actions.....
 
duh hizi ndio mba za kata hizi.....lol
unaongea nini na kubisha nini??????/lol
 
kumbe huwa unajaribu kunipima?
eti nondo..what nondo?????

unafikiri nondo ni kukariri na kuja hapa jf??????/

hivi wewe umewahi hata kunua hisa wewe?
unajua maana ya bond????
hata mlango upi unaanzia wa kuanzisha benki tz unaujua??????
nikikwambia nina benki yangu inakuja ?unaweza kunipima vipi hapo????
hahahah...kwweli wewe kwenye finance upo shallow!
Dunia hii unaongelea hisa na Bondi?
Wenzako tunadeal na Derivatives za maana.
Tunadeal na financial markets zilizoendelea..zenye Share turn over kubwa.
 
sasa ndo umeongea nini?
umeona ulivyo kariri????????
unajitia aibu mno....
wewe kariri....
walioelewa wana take actions.....
Imebidi nikupe mfano wa mtoto wa Chekechea cuz huelewi maana ya assets na liabilities
 
kwa ufupi asset yeyote ile inaweza kuwa ni a liability......

Hilo mbona liko wazi kabisa Boss. Na nashangaa kwa nini watu wanabisha. Sijui wanataka watu tuanze kutoa darasa la Business administration 101.

Ngoja nikupe mfano. Evander Holyfield, yule former world heavyweight champion ana bonge la jumba. Hili jumba alilichukulia mkopo (mortgage) kipindi kile bado anapigana na wakati hela ilikuwa inaingia kwa wingi.

Sasa hivi jamaa kaishiwa. Hana tena hela kama ilivyokuwa zamani. Ana watoto 9 na 6 au 7 kati ya hao 9 anawalipia child support. Hilo jumba lake (na ni jumba kweli kweli - ni estate) gharama za matunzo kwa mwezi zinadzidi dola laki sita kwa mwezi.

Bila steady stream of good income hawezi kumudu matunzo ya hilo jumba, hawezi kumudu monthly mortgage note yake, na ukiongezea child support ndo kabisa inakuwa mbinde.

Jamaa ana miaka karibu 50 sasa hivi na bado eti anapigana. Anafanya hivyo kwa sababu hajui kitu kingine zaidi cha kufanya zaidi ya kupigana ngumi za kulipwa. Huyu jamaa alitengeneza hela nyingi sana enzi za ushababi wake. Unwise investments ndiyo zimemponza.

Hilo jumba kuna kipindi, miaka takribani 9 iliyopita lilikuwa appraised kuwa worth around 10-15 million US dollars. Sasa hivi kwa sababu housing market ni mbaya sana thamani yake haizidi hata dola milioni 7.

In the last 5 years mortgage lender wake kajaribu kuli-foreclose hilo jumba mara kadhaa. Kuna wakati waliliweka kabisa katika orodha ya nyumba za kupigwa mnada ambazo zimekuwa forclosed. Evander aka-maneuver akaweza kulipa hiyo outstanding balance yake akaliokoa jumba lake kutopigwa mnada.

Sasa kweli hilo lijumba mtu unaweza kuliita asset? Kwa sababu hata akiamua kuliuza sasa hivi hataliuza kwa ile bei aliyolinunulia enzi hizo miaka ya katikati ya 90. Ataliuza kwa bei ya chee mno. Hilo jumba siyo asset. Hilo jumba ni liability!

[h=1]Evander Holyfield's House Under Foreclosure… Again[/h] by Tom Royce on June 25, 2009

evander_holyfields_mansion-2.jpg
Evander Holyfield's home is massive. When you drive by it (it is not far from our house) you think it is a museum. But the cost of maintaining the home and the other expenses that the aging boxer are wearing out his resources and for the second time in a year the home is under foreclosure.
A notice published last week in the Fayette Daily News revealed the former heavyweight boxing champion is in danger of losing his 109-room Fairburn mansion. The lien holder is demanding full repayment of the original $10 million loan, with an auction scheduled for July 7 on the Fayette County Courthouse steps.
Holyfield did not return a call seeking comment.
Last June a foreclosure notice was issued for the manor at 794 Evander Holyfield Highway, but "The Real Deal" was able to strike a deal to stay in his home, which sits on 235 acres just south of the Fulton County line.
The 46-year-old Holyfield also has a second Fayette property, at 592 and 596 West Bridge Road, under foreclosure, with an original loan amount of $216,000.via ajc.com.
Having met Evander around town and heard stories, he is a good man with a big heart. But the excesses that mark a typical professional athletes life seems to leave them broke more times than not. Sure they get amazing paychecks, but they also spend at rates that would make a normal person faint. Just a little self discipline and common sense would make such a huge difference in their lives.
 
The Boss na Rejao,sasa si muingie pm,hii thread mshaichafua na ujuaji wenu,wote mko sahh kabisa,u shud agree on ur differences!
 
Naona leo niendelee kukupa elimu...Asset haiwezi kuwa liability at the same time...linachotokea ni kwamba..unachoripoti wewe kama asset, mwenzako anakiripoti kama liability.
MFANO mikopo ya Bank... kwako wewe unayechukua bank mkopo unakuwa na liability...lakini bank the same mkopo inaripoti kama Asset

Unapoteza energy yako bure ......mwenzio kashapiga zao korofi humwambii ki2. mtabishana mpk asubuhi eti anasema gari linalo2mia mafuta mengi ndio liability km ni hivyo kuna haja gani y kuwa na expences incured ......
 
Mtoto hawawezi kuwa "defined" kama either "an asset" or "a liability"! NO.. NEVER!

Nadhani tatizo ni kuwa uwezo wa "kufikiri na kuchambua" wa binadamu walio wengi upo "limited" mno!
 
nu upumbavu mno kuzaa watoto kwa lengo la eti waje kukusaidia hapo baadae..
upumbavu kabisaa....
Mimi nazaa ili waje wanisaidie kuniondolea matatizo yanayotokana na kutokuwa na watoto, kama vile upweke na kadhalika. Ninaamini kila mtu anazaa ili waje wamsaidie bwana acheni uongo
 
Naona leo niendelee kukupa elimu...Asset haiwezi kuwa liability at the same time...linachotokea ni kwamba..unachoripoti wewe kama asset, mwenzako anakiripoti kama liability.
MFANO mikopo ya Bank... kwako wewe unayechukua bank mkopo unakuwa na liability...lakini bank the same mkopo inaripoti kama Asset

Huyu ni Rejao ninayemfahamu mimi?
 
nn
umeongea nilichotaka kusema hapa.....
rejao wewe ni kindergarten kabisa wa finance unakiriri tu.......
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom