Watoto ni liabilities jamani na si assets dah!

Liability ina maana kadhaa na katika muktadha huu maana yake ni mtu au kitu kinacholeta matatizo.

Mkuu mie sijasoma, ila kusema liability ni kitu kinacholeta matatizo kama haijakaa sawa vile. Hivi vitu kama nyumba ya kuishi, gari na vingine vinavyokufanya utumie hela ili viendelee kuwepo vinaleta matatizo? Sijui.

Mimi nadhani liability ni kitu/huduma ambayo kwa namna moja au nyingine itatumia your finances ili uendelee kuipata au iendelee kuwepo.
Mambo kama bill ya dawasco, kodi ya nyumba, VAT, gharama za umeme ndio liabilities, ila sidhani ni matatizo.
 
Hiyo uliyodefine hapo siyo maana ya assets wala liabilities... hamna haja ya kugoogle, ni vitu ambavyo nimevisoma na navifanyia kazi.

Mi mwenyewe nilishangaa gari likawaje liability!! .......
 
assets ni nali inayoongezeka thamani kadri siku zinavyokwenda mfano dhahabu,hisa za makampuni,majengo...n.k

liabilities ni vitu unavyonunua kwa pesa nyingi lakini vinapungua thamani kila siku
mfano magari,nguo viatu n.k

Na ili kuvimentein ni lazima utoboe mfuko. kwa ujumla ni vitu vinvyokupunguzia mshiko wako. Huyo Rejao ni mwehu tu Boss, achana naye huyo. Ana mtindio wa ubongo tu!
 
Nimekukubali The Boss kuwa una kunakumbukumbu!
Ngoja niendelee kukupa elimu....Most of Engineers wanafanya MBA kama degree ya pili
kwenye MBA unacover most ya vitu vinavyohusu Finance, Accounting & Investment.
Kuwa na taaluma ya ujenzi haimaanishi kuwa sina pia elimu ya Uhasibu.

sasa unakumbuka na siku ile uliyouliza nini maana ya assets na liabilities
na nikakujibu?
kama ulisomea ,uliuliza ili iweje?????au nikutolee link?
umesahau na hiyo?????
 
Anything can be an asset or liability.........mtoto anaweza kuwa asset ikiwa umemuandaa hivyo.....for instance mzee William,mzee Woods hawa ni baadhi ya watu ambao walijitahidi kuwaweka watoto kwenye mstari katika walichopenda watoto kufanya au walichotaka wao wazazi watoto wafanye toka mapema wakiaminia baadae kingewafaa hawa watoto nao kujinufaisha.......baba au mama anakuwa manager wa mwanawe,na mwanawe anamlipa,hii inamuhakikishia mzazi ajira/kipato mpaka uzeeni mzazi a.k.a bonus.......hii ni kule kwa wenzetu lakini......hapa kwetu,labda umuandae awe fisadi,kama viongozi wanvyoandaaa wakwao ili waje washike nafasi kama zao
mkuu sijui unawaza kutumia nini.?
 
Mi mwenyewe nilishangaa gari likawaje liability!! .......

he heeee kumbe wewe ndi mnao amini kuwa magari ni assets na utajiri....lol
hongera sana....

corrola nayo ni asset??? sina uhakika na luxury cars like ferari
but as far as ninavyojua,gari zote ni liabilities...
wajuzi zaidi wanaweza changia...
 
sasa unakumbuka na siku ile uliyouliza nini maana ya assets na liabilities
na nikakujibu?
kama ulisomea ,uliuliza ili iweje?????au nikutolee link?
umesahau na hiyo?????
nilitaka kujua uelewa wako tu.. but kwa maana ulyoitoa leo siyo sahihi kabisa.
Mifano uliyoitoa pia siyo sahihi
 
Wanangu nawalea na kuwapa mahitaji kwa ajili yao wenyewe.Siwalazimishi sana wanisaidie uzeeni,of coz automaticaly watanisaidia,ila mimi mwenyewe najiwekea hadi uzeeni.
 
he heeee kumbe wewe ndi mnao amini kuwa magari ni assets na utajiri....lol
hongera sana....

corrola nayo ni asset??? sina uhakika na luxury cars like ferari
but as far as ninavyojua,gari zote ni liabilities...
wajuzi zaidi wanaweza changia...
Unazidi kuharibu The boss..
 
Mi mwenyewe nilishangaa gari likawaje liability!! .......

Mkuu gari linaweza likawa liability au asset kulingana na faida au hasara yake...;

Gari linalokunufaisha (iwe financially au otherwise ni asset) mfano tax au gari unalotumia kwenye biashara zako au kazi zako ili kuendeleza kipato zaidi.. lakini gari ambalo linakutia hasara (hilo ni liability) mfano kama una gari ambalo linakunywa mafuta sana, bovu au hakuna faida yoyote linalokuletea basi hio ni liability..., ingawa kwenye balance sheet unaweza kuliweka kwenye upande wa asset (sababu ile value yake unaweza ukaliuza na ukapata money worth ya kiasi fulani..) lakini in really sense wewe mwenyewe unajua kwenye roho yako kama ni asset au liability

Mfano kuna jamaa ninawajua yaani kulihudumia gari na kulilisha kwa siku ni zaidi ya yeye anavyokula, pia hadi anakopa ili tu kuliweka barabarani na halizalishi kitu kabisa (hapa kwa kweli hili gari ni hasara kubwa tu...) na by the time analiuza litakuwa limekula pesa nyingi sana na kuendelea kukaa nalo linakula pesa nyingi
 
Na ili kuvimentein ni lazima utoboe mfuko. kwa ujumla ni vitu vinvyokupunguzia mshiko wako. Huyo Rejao ni mwehu tu Boss, achana naye huyo. Ana mtindio wa ubongo tu!
Sasa kati yangu na wewe nani anaonekana mwehu?
 
nilitaka kujua uelewa wako tu.. but kwa maana ulyoitoa leo siyo sahihi kabisa.
Mifano uliyoitoa pia siyo sahihi

wewe huna unachokijua......
umeelezwa hapo maana ziko kwa upana.....
mimi nimetoa maana kwa kujaribu ku summarize tu.....ili husninyo aelewe kwa ufupi....
wewe kwa kujishaua ukaona ndo nafasi ya kututangazia umesoma nini
na unajua nini huku unauliza watu ambao hawajasoma hayo mambo na still wanakupinga....
go slow....eti unipime...haikuwa kwenye thread yangu hilo swali....
 
Mkuu gari linaweza likawa liability au asset kulingana na faida au hasara yake...;

Gari linalokunufaisha (iwe financially au otherwise ni asset) mfano tax au gari unalotumia kwenye biashara zako au kazi zako ili kuendeleza kipato zaidi.. lakini gari ambalo linakutia hasara (hilo ni liability) mfano kama una gari ambalo linakunywa mafuta sana, bovu au hakuna faida yoyote linalokuletea basi hio ni liability..., ingawa kwenye balance sheet unaweza kuliweka kwenye upande wa asset (sababu ile value yake unaweza ukaliuza na ukapata money worth ya kiasi fulani..) lakini in really sense wewe mwenyewe unajua kwenye roho yako kama ni asset au liability

Mfano kuna jamaa ninawajua yaani kulihudumia gari na kulilisha kwa siku ni zaidi ya yeye anavyokula, pia hadi anakopa ili tu kuliweka barabarani na halizalishi kitu kabisa (hapa kwa kweli hili gari ni hasara kubwa tu...) na by the time analiuza litakuwa limekula pesa nyingi sana na kuendelea kukaa nalo linakula pesa nyingi
Asante sana kwa kumpa elimu nzuri The Boss!
 
Unazidi kuharibu The boss..

wewe umekariri ndo maana na unafikiri kuongea mawazo yako huru na kutofautiana na watu ni kuharibu

kwa taarifa yako hata nyumba inaweza kuwa a liability......

but umeona hapo nimemtajia hsninyo kuwa ni asset??????

usikariri,jaribu kuelewa....

nimesema hapo,nijuavyo mimi gari zote ni liabilities.....

huo ni mtazamo wangu,while najua kuna gari za thamani kubwa
na unaweza kuombea mikopoo na kadhalika......

ekewa,usikariri.........
 
Mkuu watoto ni Asset na sio watoto tu hata binadamu nao ni asset kwa kampuni fulani au nchi fulani...

Na kurudisha gharama sio monetary tu, hata kuwa na mtu wa kukuangalia ukiugua au hata mtu wa kuongea na wewe na kukupa company kwahiyo faida za watoto list is endless (inategemea na mtu mwenyewe) faida haipimwi kwa pesa peke yake....

hata tukiona definition ya asset hapo chini utaona kwamba kulingana na definition ya namba 1 utaona kwamba mtoto anaweza kuwa asset; na hata ile furaha anayokupa ukimuangalia inaonyesha kwamba yeye ni asset

tatizo wazazi wengi wanapenda watoto wao wawe fixed asset.mtoto akiwa current asset wao wanafikiri ni liability ..... liability ni yule miaka 50 yupo na mkewena watoto anakula na kulala bure kw baba na mama.
 
wewe umekariri ndo maana na unafikiri kuongea mawazo yako huru na kutofautiana na watu ni kuharibu

kwa taarifa yako hata nyumba inaweza kuwa a liability......

but umeona hapo nimemtajia hsninyo kuwa ni asset??????

usikariri,jaribu kuelewa....

nimesema hapo,nijuavyo mimi gari zote ni liabilities.....

huo ni mtazamo wangu,while najua kuna gari za thamani kubwa
na unaweza kuombea mikopoo na kadhalika......

ekewa,usikariri........
.
Hamna cha mtizamo wako when it comes to defining technique terms
 
Mkuu mie sijasoma, ila kusema liability ni kitu kinacholeta matatizo kama haijakaa sawa vile. Hivi vitu kama nyumba ya kuishi, gari na vingine vinavyokufanya utumie hela ili viendelee kuwepo vinaleta matatizo? Sijui.

Mimi nadhani liability ni kitu/huduma ambayo kwa namna moja au nyingine itatumia your finances ili uendelee kuipata au iendelee kuwepo.
Mambo kama bill ya dawasco, kodi ya nyumba, VAT, gharama za umeme ndio liabilities, ila sidhani ni matatizo.

Hahahaaa....wengine isimu kwetu ni taaluma. Sasa kama unaelewa kizungu hebu deku hizi fasili za neno 'liability' kutoka kamusi ya Merriam-Webster hususan ingizo la tatu halafu uliweke katika muktadha wa hii mada halafu ndiyo tuendelee na ligi. Sawa ndugu?

li·a·bil·i·ty /ˌlajəˈbɪləti/ noun

plural li·a·bil·i·ties

1 [noncount] : the state of being legally responsible for something : the state of being liable for something
▪ The company is trying to limit its liability in this case. ▪ criminal liability [=the state of being responsible for a crime] ▪ The judge cleared me of any/all liability for the accident. [=the judge said that I was not responsible for the accident]

2 [count] : something (such as the payment of money) for which a person or business is legally responsible
▪ a tax liability [=taxes that will have to be paid] - usually plural ▪ business assets and liabilities [=debts]

3 [count] : someone or something that causes problems
▪ His small size was a liability (to him) as a football player. ▪ This scandal has made the vice president a liability (for this administration).
 
Asante sana kwa kumpa elimu nzuri The Boss!

akueleweshe wewe ambae kazi yako ni kuweka gypsum na sasa unajifanya ni invesment banker....

liabilities na assets zinaenda zinabadilika....gari mbovu inakuwa a liability leo..
baada ya miaka kumi hiyo gari inakuwa a vintage car...kama zile benz za kizamani

inakuwa asset.......

dhahabu leo inaweza kuwa ni asset but bei ya dhahabu ikishuka saana inaweza kuwa ni a liability....

hivyo hivyo kwenye hisa na bond za makampuni.......

hakuna kitu fixed forever....
 
Hamna cha mtizamo wako when it comes to defining technique terms

wewe hujui kitu
na umekariri......ndo maana unawatumia watu hapa badala ya kutonesha hiyo mba yako
uliyosomea ulielewa nini????
 
[h=2]Rich Dad, Poor Dad[/h] [h=4]By Robert T. Kiyosaki with Sharon L. Lechter, CPA[/h] by Michael C. Gray
July 25, 2000

What is the difference in the world view and attitude of people who become rich compared to other people? What things do they do differently to have such different results in their lives?
Robert T. Kiyosaki had a unique opportunity to find out. Robert's father was an educator and public administrator. When Robert was a young boy, he and his friend, Mike decided they wanted to learn how to become rich. They started by trying to make (counterfeit) money.
Robert's father explained to the boys this was illegal. He also admitted he did not know how to become rich, but suggested the boys ask Mike's father how to go about it. So Mike's father, an independent businessperson, became a mentor to Robert, his "Rich Dad."
This book is the fascinating story of how the Rich Dad taught Robert the lessons he needed to learn to make himself financially independent. Robert has learned that our educational system is pretty good at producing employees, but not very good at producing people who are good at managing their finances wisely. He now teaches people how to apply the principles of becoming rich. In addition to publishing the information in this book, he has developed a game, CASHFLOW(tm) 101 to help people develop their financial intelligence.
Some of the ideas Robert presents reinforce those in other books we have reviewed. Like The Millionaire Next Door, Robert points out the difference between having a big salary and building wealth. Like The Richest Man In Babylon, Robert emphasizes the importance of paying yourself first. In his opinion, it's more important to systematically invest a portion of your income than to pay your bills or to pay your taxes. (A controversial concept.)
Robert also has a definition of an asset versus a liability that is different from conventional accounting. Investors generally focus on accumulating assets and avoid liabilities. Simply stated, assets generate income or cash. Liabilities consume cash. Rich people accumulate assets. People who aren't rich accumulate liabilities. Some things that look like assets are actually liabilities - for example: a residence, a car, a boat. When we accumulate these things, we are not really accumulating wealth, we are consuming it. If we haven't accumulated sufficient assets and we acquire these "toy" liabilities, we are putting the cart before the horse. Instead, we should emphasize regularly acquiring stocks, bonds, tax lien certificates, rental real estate, and other investments. We also need to learn to build value and get some tax shelter by building our own business.
Robert acknowledges that it is possible to use the principle of compound interest and regular saving to achieve financial independence. The problem with this approach is it's a long, patient one. Most people get started too late for it to work.
The rest of us must develop our financial intelligence, make risk our friend, and accelerate our financial growth. Although diversification is appropriate for preserving accumulated wealth, the investor usually must take the additional risk of focused investments in order to initially accumulate wealth. Bigger returns require accepting more risk.
Rich Dad, Poor Dad is the kind of book that opens your mind to new possibilities. Whether to contribute to your child's financial education or your own, you will want to have a copy in your home.
[h=4]For our new reviews of business and self-improvement books, subscribe to our newsletter, Michael Gray, CPA's Tax & Business Insight![/h]​
mglogo.gif

Similar Discussions

Back
Top Bottom