Watoto 300+ Dodoma kulishwa wali wenye virutubisho kutoka USAID

Siyo kazi ya historians, nilichoandika ninamaanisha na ninakielewa vyema sana, sijakurupuka kueleza Jambo hili kwenye mada hii iliyopo mezani.Je, una hanari kwamba utawala wa Makaburu ulianzisha mipango maalumu ya Siri kubwa katika kudhibiti rate ya kuzaliana kwa watu weusi nchini Afrika ya Kusini?Unayo habari hii? Clinics za Siri za kutekeleza mradi huo bado zipo hadi leo hii, unalijua Jambo hili?
Vile vile, walianzisha project nyingine ya Siri kuhusu introduction ya homosexuality kupitia njia ya chanjo (vaccination) na food production and supply chain.
Kumbuka: Projects zote hizi pamoja na nyinginezo walizoanzisha zilifanikiwa pakubwa sana na ufanisi wake upo juu hadi leo hii.
wew si historian ndio maana unamaanisha na kukielewa vyema 🐒

hayupo kiongozi wa kisiasa TZ au Africa ataanza kubabaika na historia ati makaburu walifanya nini huko kale wakiwa wachache hali ya kua vipaumbele na mahitaji yao yalikua tofauti na sasa, hata hivyo population yao ilikua pia ilikua ni ndogo mno ukilinganisha na ilivyo sasa 🐒

malengo ya makaburu ilikua ni kujinufaisha wao na wenye rangi kama zao. haiwezekani tukaiga, upendeleo na ubaguzi hata siku moja 🐒

TZ na Africa,
mipango, mikakati, dira na uelekeo ni katika kuhakikisha kila jambo linalofanywa na serikali za nchi mbalimbali, zinalenga kuimarisha Amani, utulivu, umoja na mshikamano wa kitaifa na kisha kazi za maendeleo kwa maslahi mapana ya wananchi wote 🐒
 
Unalopaswa kulijua, Ngozi Nyeupe haikutakii mema hata siku moja !! Wako kimaslahi zaidi na sio vinginevyo !!
 
Tanzania tuna aridhi inayolimika zaidi ya hekta 44,000,000 na hekta 29,000,000 zinazofaa kilimo cha uwagiliaji.

Pia tunapata mvua ya zaidi ya milimita 3,000 ambazo zikitumiwa vizuri tunaweza kulima kwa mwaka mzima.

Hapa chini ni chakula misaada ambacho tumepokea kutoka marekani.


Chini ya mpango wa 'Pamoja Tuwalishe', Wizara ya Kilimo ya Marekani, kwa ushirikiano na Jumuiya za Kimataifa, imetoa msaada wa kwanza wa mchele ulioongezwa virutubisho, maharage na mafuta ya alizeti kutoka kwa wakulima wa Marekani moja kwa moja hadi shuleni katika eneo la Dodoma nchini Tanzania.

Zaidi ya kutoa milo yenye lishe, wanafunzi katika shule zaidi ya 300 zinazoshiriki, pia wataanzisha bustani za shule, na kujifunza mbinu za kuvuna maji ya mvua.

Ikiwa ni mfano kamili unaoweza kuigwa, programu hii inaakisi ahadi na dhamira ya dhati ya Marekani ya kukuza afya, elimu, na fursa kwa watoto kote ulimwenguni.


My Point: Chakula hiki cha msaada kimewekewa virutubisho na wanaenda kula watoto wetu katika shule zaidi ya 300, nafadhaika sana.

Umaskini mbaya sana. Hivi mtu anaweza kuniletea unga nyumbani nikakubali? Wakati nina mikono miwili. Labda kama kuna janga la ukame
 
Kuna ulazima sana kwa watawala wa kiafrika hususani watawala weusi na watu weusi (black people) kufanya kila namna wapate nakala zote za hotuba za watawala wa nchi ya Afrika ya Kusini chini ya Uongozi wa Wazungu wachache (Makaburu),. Hotuba hizo pamoja na nyaraka zingine mbalimbali za kiofisi za utawala wa Makaburu zina TAARIFA NYETI SANA na muhimu kwa watu weusi kuzijua taarifa hizo, watu weusi ni lazima tupate documents hizo na tuzisome na kuzielewa vyema kama kweli tunajitakia mema sisi pamoja na vizazi vyetu vijavyo.
Documents hizo zimekuwa zinaeleza kwa uwazi kabisa kuhusu haya mambo yanayoendelea kutokea hapa duniani, hususani kuhusu maisha ya watu weusi.
Hatujuagi kutafuta chanzo Cha tatizo hata siku Moja, ndomana Africa tupo hapa hapa mpaka leo. Tunatakiwa kuchimbua makaburi yote na kukusanya data zatulipotoka tupate mwanga na mwelekeo wa tunapokwenda. Lazivo turaendelea kuburuzwa hapa hapa.
 
Ata miss world alionyesha dunia jinsi watoto wa kitanzania wanavyokaa shuleni kutwa bila kula chochote.
VX Moja inaweza kulisha watoto wangapi? Siku za nyuma kuna mtu alituma hapa ufunguzi wa darasa moja ambapo VX na magari ya kifahari yalikuwa zaidi ya 20. Hiyo hela ingewekwa kwenye irrigation schemes si tungekuwa tunavuna mpaka tunasaza?
 
Back
Top Bottom