tajirijasiri
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 2,864
- 3,851
Kumekuwa na tabia ya wateule wa Sizonje kufanya maamuzi tata, kinyume na sheria kwa kisingizio cha amri toka juu. Wakumbuke kwamba hawana kinga yoyote ya kushtakiwa kama alivyo Sizonje.
Na wajue kwamba madaraka ni ya muda tu, na huyo aliyewateua atayaacha hayo madaraka na wao madaraka yao yatakoma.
Atakuja Kiongozi mpya na sheria za nchi zitafuatwa. Hapo ndipo mbivu zitajitenga na mbichi.
CC: Bashite, Faru John, mzee kifimbocheza, Policcm, etc..
Mark my words!
Sent using Jamii Forums mobile app