Watetezi wa 'scorpion' walikurupuka

Watetezi wa 'scorpion' walikurupuka

SIKU UKIIBIWA NDIYO UTAJUA MWIZI ANATAKIWA KUTENDEWA NINI LAKINI KWA SASA ENDELEA NA POROJO AMBAZO HATA KWENYE HIZO DINI ZETU ZOTE HAKUNA LISEMALO UMWACHE MWIZI HAI ILA KWA DINI ZA MAZINGAOMBWE WANAKUAMBIA SABA MARA SABINI MAANA YAKE UIBIWE MARA MIA NNE TISINI ILE YA TISINI NA MOJA SIJUI NAYO USAMEHE AU?

BADO MMOJA,
Jaribu kidogo kuwa realistic. Usidhani ka ni wewe tu uliyewahi kuibiwa, tena wakati mgumu sana na mahali pabaya saana. Lakini, kama kweli weye ni Mkristo, unayeujua Ukristo, sidhani ka ungelikuwa na mawazo yako. Njoo uwe Mkristo uishi Kikristo, hutayawaza uwazayo.
Wakati usafiri ni shida, nilisafiri na familia yangu kutoka Musoma kuja Arusha. Familia ya watu 8, sintaisahau hiyo safari kwani ilikuwa kuungaunga. Musoma - Mwanza, Mwanza - Nzega, Nzega - Singinda, Singida - Arusha. Ni safari ngumu, ndefu na ya kuchosha. Waweza kuona kuwa ulikuwa ujinga lakini aliyesafiri kipindi hicho cha 80s anajua nilichofanya ni hekima sana.
Nikiwa Singida, nikaibiwa nusu ya hela zangu zote za safari. Tena kwa mtu aliyejifanya msamaria mwema na kunisaidia mizigo na baadhi ya watoto. Ninachomshukuru Mungu ni kuwa, hakuwaumiza watoto wala hakuniumiza mimi ila alinimaliza nguvu kabisa. Nilifedheheka mbele ya familia ka baba waliyemwona ni Tyson asiyetishwa. Lakini siku hiyo, begi langu likachukuliwa vivi hivi tukiangalia likatokomea gizani. Ili kuwafanya wale genge la jambazi waondoke nika walilia kuwa jamani tunaenda mbali na angalieni familia mnihurumie hata nusu ya nauli wakacheka kicheko cha fisi wakatokomea gizani na matisho kuwa watarudi tena. Namshukuru Mungu hawakurudi.
Nikafungua maboksi yangu na kutoa hela niliokuwa nimeificha humo, asubuhi tukapata gari la kufika Arusha. Hebu niambie, ni mimi leo kweli nawatetea wezi?? Namshukuru Mungu aliyewafumba macho wasinivamie tena pale stand Singida hata wakawadhuru watu wangu.
 
Watu humu ndani wanaendelea kutoa hukumu bila kujua ukwel ni upi sasa kibao kimegeuka hii ndio tanzania bana asanteni
 
Hapana hata ionekane wazi kabisa kuwa hana hatia lakini atabaki na shtaka moja la shambulio toka maungoni na kusababisha ulemavu! Hapa atashtakiwa na jamhuri kwa kuchukua sheria mkononi

Umejibu vyema! Alichuma janga wacha ale na wakwao! Ila kwa upande mwingine Jamhuri inatakiwa kutambua kwamba shambulio tajwa limemfanya victim wa tukio kuwa milionea...YES just imagine ukata aliokuwa nao ilihali ana macho mawili,what if mtukutu Scorpion asingejitokeza!
 
ikithibitika alikuwa mfadhili anaweza kupokonywa kila kitu na kufunguliwa mashtaka
 
Tanzania sijui inaenda wapi mambo mengi yana tolewa maamuzi ya kukurupuka kwa pressure ya mitandao ya kijamii

Mf .tukio la mwalimu kumchapa mwanafunzi
Na hili tukio la saidi kutolewa macho
Raia zinakurupuka bila kuangalia pande zote mbili
 
Ni kweli, ila kumbuka kuna kitu kimoja ambacho wa Tz tumekuwa maarufu nacho ni kupika uongo. Hasa aliyetobolewa macho inaonekana ni mnafiki na muongo muongo, maana haingii akilini mtu aibuke tu aje akutoe macho, lazima kuna kisababishi amabacho ukweli yeye mtobolewa macho anakijua, na malipo yake ndiyo hayo kayapata kwa kutobolewa macho.
Yah ni kweli , jamaa anavyojieleza inanipa mashaka
 
Ila ana moyo mgumu aiseee duuuuu! yaani unamtoboa mwenzio macho yanamwaga maji unatoboa unatoboa unatoboaaaaa uwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
Mbona askari wanapiga watu risasi na kuwaua?????
 
Jamani mi ni mzaliwa wa mkoa wa mara niwe wazi. Ukimsikiliza mtobolewa said kuna kitu anaficha haiwezekani pale buguruni saa nne mtu asulubiwe kiasi hicho watu wauchune eti mtoboaji aamuru madereva wamkanyage madereva wanapita pembeni uwongo zaidi ya MAUWONGO ya SISIEMU
Mimi niliogopa hapo kuamrisha magari yamgonge mpaka nikajiuliza ujasiri huu mtu anautolea wapi na je hii ni tz kweli au baghdad
 
Tanzania sijui inaenda wapi mambo mengi yana tolewa maamuzi ya kukurupuka kwa pressure ya mitandao ya kijamii

Mf .tukio la mwalimu kumchapa mwanafunzi
Na hili tukio la saidi kutolewa macho
Raia zinakurupuka bila kuangalia pande zote mbili
Na hii ni mifano michache tu lakini huko Magerezani kuna wengi wanatumikia vifungo lakini hawana hatia! Kuna kitu ndani ya jamii yetu ni tatizo kubwa sana lakini mamlaka hazioni wala kujali
 
BADO MMOJA,
Jaribu kidogo kuwa realistic. Usidhani ka ni wewe tu uliyewahi kuibiwa, tena wakati mgumu sana na mahali pabaya saana. Lakini, kama kweli weye ni Mkristo, unayeujua Ukristo, sidhani ka ungelikuwa na mawazo yako. Njoo uwe Mkristo uishi Kikristo, hutayawaza uwazayo.
Wakati usafiri ni shida, nilisafiri na familia yangu kutoka Musoma kuja Arusha. Familia ya watu 8, sintaisahau hiyo safari kwani ilikuwa kuungaunga. Musoma - Mwanza, Mwanza - Nzega, Nzega - Singinda, Singida - Arusha. Ni safari ngumu, ndefu na ya kuchosha. Waweza kuona kuwa ulikuwa ujinga lakini aliyesafiri kipindi hicho cha 80s anajua nilichofanya ni hekima sana.
Nikiwa Singida, nikaibiwa nusu ya hela zangu zote za safari. Tena kwa mtu aliyejifanya msamaria mwema na kunisaidia mizigo na baadhi ya watoto. Ninachomshukuru Mungu ni kuwa, hakuwaumiza watoto wala hakuniumiza mimi ila alinimaliza nguvu kabisa. Nilifedheheka mbele ya familia ka baba waliyemwona ni Tyson asiyetishwa. Lakini siku hiyo, begi langu likachukuliwa vivi hivi tukiangalia likatokomea gizani. Ili kuwafanya wale genge la jambazi waondoke nika walilia kuwa jamani tunaenda mbali na angalieni familia mnihurumie hata nusu ya nauli wakacheka kicheko cha fisi wakatokomea gizani na matisho kuwa watarudi tena. Namshukuru Mungu hawakurudi.
Nikafungua maboksi yangu na kutoa hela niliokuwa nimeificha humo, asubuhi tukapata gari la kufika Arusha. Hebu niambie, ni mimi leo kweli nawatetea wezi?? Namshukuru Mungu aliyewafumba macho wasinivamie tena pale stand Singida hata wakawadhuru watu wangu.
UKRISTO AKIWEMO KRISTO MWENYEWE HAKUFUNDISHA UJINGA UNAOTAKA KUNIFUNDISHA INELIKUWA UKRISTO UNAFUNDISHA HAYO YAFUATAYO YASINGELIFANYIKA KATIKA HISTORIA YA UKRISTO DUNIANI:-
  • DAUDI MFALME ASINGEPIGANA VITA BALI ANGEWASAMEHE ADUI ZAKE WAKAFANYA WALIVYOTAKA.
  • YESU ASINGEWAKEMEA WAFANYABIASHARA PALE HEKALUNI NA KUSAMBARATISHA BIDHAA ZAO.
  • YAKOBO ASINGELIDAI MKE NA MALI ZAKE KWA LABANI ANGEFANYA KAMA ULIVYOFANYA WEWE UZEMBE BEGI LIKAENDA NA KWA KUHALAISHA UZEMBE WAKO UKAJIFANYA UNAWASAMEHE WEZI UKIDHANI UNAMFURAHISHA MUNGU.
  • ELIYA MTISHIBI NABII WA MUNGU ASINGEAMURU MOTO USHUKE NA KUWAANGAMIZA WALE ASKARI MAKUNDI MAWILI YA WATU HAMSINI HAMSINI BALI ANGEJISALIMISHA KWAO NA KWENDA KUFUNGWA NA MFALME ASIYEMJUA MUNGU KAMA ULIVYO WEWE. NIMEKUTOLEA MIFANO MICHACHE ILI UJUE UKRISTO SIYO UJINGA WALA UZEMBE KAMA UNAVYOTAKA KUNIAMINISHA BALI WATU WENGI WENYE UELEWA MDOGO KAMA WEWE NDIYO WANATUMIA DINI KUHALALISHA UJINGA NA UPUUZI KAMA WAKO SITAMHURUMIA MWIZI YEYOTE MPAKA NITAKAPOIHAMA DUNIA NA NITAPAMBANA NA YEYOTE ATAKAYENIONEA KWA LOLOTE MPAKA TONE LA MWISHO DAMU LA YANGU.
 
sizungumzii kuwa haiwezekani ila akili iliotumika kukufanyia suprise ilikuwa akili ndogo mno! Kamwe usikubali kutangulizwa eti mzigo ukufwate nyuma au kumtanguliza mtu mbele halafu aende spidi kukuzidi wewe mpaka akupotee machoni!
Hapana; sio akili ndogo sema Ukwaju alidanganyika na shazi la Kariakoo! Shazi la mtu likikubali pale, unaweza kuamini si rahisi mtu akakutoka na mkokoteni ndani ya dakika sifuri... utajiuliza; atapitia wapi!!! Hata huyo mwizi alitumia hiyo karata... kwahiyo ni calculated attempt!
 
="Nkobe, post: 18142870, member: 126268"]Alichukua pesa na mikufu[/QUOTE]
Lakini simu akaiacha?? hiyo mikufu na pesa atakuwa alipolwa na wasamalia wema waliompa msaada kwa dar hiyo kawaida sana mtu amapata ajari watu wanakimbilia mifukoni.

Nazani hilo la kusema kuwa kaporwa cheni na hera analiweka ili ionekane kuwa scorpion aliliwa kibaka maana ingeonekana jamaa hakuchukua kitu.watu wangehoji alikuwa anataka nini na ingekuwa rahisi kufika kwenye ukweli
 
Mkuu;
Hiyo Ni wale wale wenzako wameamua kukuhujumu tu ili waone utasemaje. Hakuna maakayeponea tundu la sindano athubutu kurudia sehem ile ile.
Pili, Hivi weye unafurahia kibaka aliyeiba kuku, tv screen au viatu tu auliwe au afanywe kilema wakati wadokozi wakubwa waliosoma wanaiba kwa kalam na kujijengea makasri ya kutisha halaf hawaambiwi chochote?? Nadhani, we are not fair.
huhakutana nao wewe, kuna mwizi wa viatu mtaani hapa alikamatwa akapigwa akaponea moto baada ya petrol kuchelewa, akawa amekimbia,
alienda kuuguza majeraha na sasa ni mwizi sugu, anatusafishia hapa mara nyingi tu.
 
Huyo sasa sio mwizi sugu tena bali ni mfu sugu
 
ikithibitika alikuwa mfadhili anaweza kupokonywa kila kitu na kufunguliwa mashtaka
Mshana hata wewe umekurupuka!Kuna vitu unahitaji kujifunza,ukiangalia tukio inaonyesha dhahiri kwamba kulikua na ugomvi mkubwa sana uliokua unaoendelea chini kwa chini na aliyofanya tukio alifika hatua ya mwisho ya uvumilivu katika jambo ambalo lilimkera.Pia matukio kama haya huwa ni machache sana na yanapotokea hua yanavuta sana hisia za watu kutokana na ukubwa wa tukio,nature ya tukio hili na hatua zilizopitiwa kupata ufumbuzi kabla ya mtuhumiwa kufanya alichofanya unaweza fanya reference kwenye matukio yafuatayo
(a) Kutekwa kwa Dkt Ulimboka
(b) Kumwagiwa Tindi kali kwa muandishi fulani wa habari nchini katika utawala uliopita

Tafakari matukio hayo mawili hapo juu kwa makini utapata jibu kama utaweza kufikiria mbali
NB;sifurahii alichokifanya ila kusema scorpion ni kibaka,mwizi au mporaji ni mwenye upeo mdogo tu wa kufikiri ndio anaweza kuamini.kunaa jambo baya lililomkera sana tena jambo hilo sio zuri na mtu yeyote angefanyanyia jambo hilo asingeweza kuvumilia
 
Sawa inawezekana ni kweli nimekurupuka kwenye heading ila hebu soma tena maudhui ya mada
 
harafu kibaka gani dar hii anakuibia anaacha simu?? vitu alivyoibiwa atakuwa aliibiwa na vibaka au wasamalia wema waliokuwa wanampa msaada.
 
UKRISTO AKIWEMO KRISTO MWENYEWE HAKUFUNDISHA UJINGA UNAOTAKA KUNIFUNDISHA INELIKUWA UKRISTO UNAFUNDISHA HAYO YAFUATAYO YASINGELIFANYIKA KATIKA HISTORIA YA UKRISTO DUNIANI:-
  • DAUDI MFALME ASINGEPIGANA VITA BALI ANGEWASAMEHE ADUI ZAKE WAKAFANYA WALIVYOTAKA.
  • YESU ASINGEWAKEMEA WAFANYABIASHARA PALE HEKALUNI NA KUSAMBARATISHA BIDHAA ZAO.
  • YAKOBO ASINGELIDAI MKE NA MALI ZAKE KWA LABANI ANGEFANYA KAMA ULIVYOFANYA WEWE UZEMBE BEGI LIKAENDA NA KWA KUHALAISHA UZEMBE WAKO UKAJIFANYA UNAWASAMEHE WEZI UKIDHANI UNAMFURAHISHA MUNGU.
  • ELIYA MTISHIBI NABII WA MUNGU ASINGEAMURU MOTO USHUKE NA KUWAANGAMIZA WALE ASKARI MAKUNDI MAWILI YA WATU HAMSINI HAMSINI BALI ANGEJISALIMISHA KWAO NA KWENDA KUFUNGWA NA MFALME ASIYEMJUA MUNGU KAMA ULIVYO WEWE. NIMEKUTOLEA MIFANO MICHACHE ILI UJUE UKRISTO SIYO UJINGA WALA UZEMBE KAMA UNAVYOTAKA KUNIAMINISHA BALI WATU WENGI WENYE UELEWA MDOGO KAMA WEWE NDIYO WANATUMIA DINI KUHALALISHA UJINGA NA UPUUZI KAMA WAKO SITAMHURUMIA MWIZI YEYOTE MPAKA NITAKAPOIHAMA DUNIA NA NITAPAMBANA NA YEYOTE ATAKAYENIONEA KWA LOLOTE MPAKA TONE LA MWISHO DAMU LA YANGU.

Aksante sana kwa mifano yako ambayo sijaona uhusiano wake na nilosema. Kumbe ukristo na maisha ya Kristo kwako ni kufungia tairi mwizi na kumchoma moto kisa kaiba kuku!! Ukristo huo siutaki. Huyo Yesu wako alipoletewa mwanamke mzinzi mbona hakumhukumu?? Watu walikuwa tiyari kuitimiza tawrati ya Musa, Yesu akakataa, hapo vipi? Usilipange neno lihalalishe uovu wako.
Nasema; HUMJUI MUNGU. Mangapi umefanya kwa siri ambayo hata kuyataja unaogopa. Mungu mbona asikuumbue??
 
huhakutana nao wewe, kuna mwizi wa viatu mtaani hapa alikamatwa akapigwa akaponea moto baada ya petrol kuchelewa, akawa amekimbia,
alienda kuuguza majeraha na sasa ni mwizi sugu, anatusafishia hapa mara nyingi tu.

Poleni jamani naona mtaa wenu baada ya kumtia mwizi ngeu sasa mpo salama.
 
Back
Top Bottom