BADO MMOJA
JF-Expert Member
- Jul 19, 2012
- 2,195
- 1,349
Aksante sana kwa mifano yako ambayo sijaona uhusiano wake na nilosema. Kumbe ukristo na maisha ya Kristo kwako ni kufungia tairi mwizi na kumchoma moto kisa kaiba kuku!! Ukristo huo siutaki. Huyo Yesu wako alipoletewa mwanamke mzinzi mbona hakumhukumu?? Watu walikuwa tiyari kuitimiza tawrati ya Musa, Yesu akakataa, hapo vipi? Usilipange neno lihalalishe uovu wako.
Nasema; HUMJUI MUNGU. Mangapi umefanya kwa siri ambayo hata kuyataja unaogopa. Mungu mbona asikuumbue??
WEWE UNAYEMJUA MUNGU MJUE NA MIMI NIACHE NA DHAMBI ZANGU, NI LINI NA WAPI MWIZI WA KUKU KACHOMWA MOTO HATA HIVYO KWA NINI AIBE? ENDELEA KUTETEA UHALIFU KWA KISINGIZIO CHA DINI MAANA PAMOJA NA MIFANO YOTE UMENIONA SIJUI KITU ILA KASOME KITABU CHA WAGALATIA SURA NA AYA SIIKUMBUKI ILA UNASISITIZWA KUWA NA KIASI KWA KILA JAMBO KATIKA YALE MATUNDA TISA YA ROHO.