Watetezi wa 'scorpion' walikurupuka

Watetezi wa 'scorpion' walikurupuka

Huyo scorpion kwa aina ya mashtaka yake hakuna hakimu atakayemfunga labda wavunje sheria tu... Huyo aliyetolewa macho simuamini ati alipofuliwa macho September mwaka huu wakati anamakavu yaliyo kauka haswa ukitizama ni aina ya makovu yenyewe zaidi ya mwaka
 
Tangu kuumbwa kwa ulimwengu, kumekuwa na baadhi ya binadamu wachache ambao wamekuwa ni mahili sana kutumia umbumbumbu na udhaifu wa binadamu wenzao kuwadanganya na kujipatia kipato! mara nyingi watu hawa inasemekana wana kiwango kikubwa cha akili na ni wabunifu kupindukia... huwa tunawaita MATAPELI. hawa wapo kuanzia kule kijijini Namtumbo Ruvuma mpaka NYC, marekani! kwa mtazamo wangu wafuatao ni MATAPELI wakubwa zaidi kuwahi kutokea hapa nnchini ambao walitingisha na kuteka hisia za watu..
5. MANYAUNYAU
Huyu jamaa wote tunamfahamu, aliiitikisa sana miaka ya 2006,2007, na 2008! alijigamba kuwa akinywa damu ya paka anapata uwezo wa kimiujiza kufichua wachawi.! alizunguka mitaa karibia yote ya uswahilini hapa Dar, except huko udhunguni masaki n.k (sijui huko hakuna wachawi)! baada ya kuteka hisia za watu vya kutosha akaanza na ziara za mikoani... jamaa akaingiza mkwanja mrefu sana kwa kazi yake hii, nakumbuka miaka ile ya 2008 alinunua RAV 4 flani hivi kali sana, na mjengo wa maana.! sijui kwa sasa amepotelea wapi, inawezekana kazi yake ilikuwa effective wachawi wameisha!!!!!!
4. ALEX MASSAWE
Huyu jamaa ni Tapeli "first class"!! alikuwa anatapeli kuanzia raia wenzake, serikali, mashirika mpaka matajiri wakubwa wakubwa! alitapeli sana watu nyumba, magari, mashamba na hata fedha! Serikali iliangaika sana na huyu jamaa kwa miaka kadhaa lakini hawakufua dafu, mpaka Interpol walipomkamata huko Dubai! inasemekana Jamaa alikuwa anapiga dili zake na watu wazito serikalini na bungeni!! Inasemekana kuna wabunge Watatu kutoka mkoa mmoja wa kaskazini ndio alikuwa anapiga nao sana ishu za madili ya gari za wizi na kusafisha fedha haramu.!
3. DAUDI BALALI
Binafsi nahisi huyu ni moja kati ya watanzania ma-genius zaidi kuwahi kutokea! huyu kipindi anasoma alirushwa sana madarasa kutokana na kiwango kikubwa cha akili hii ikapelekea yeye kusoma elimu ya msingi na sekondari kwa miaka 10 tu!!! akiwa na miaka 18 alijiunga na chuo kikuu cha Howard, marekani ambapo alitunukiwa shahada yake ya kwanza. Akiwa na miaka 25 alitunukiwa PHD na chuo kikuu cha John Hopkins.!! kisha akarudi nchini kuwa mchumi wa benki kuu mwaka 1967. Baadae kidogo akaajiriwa IMF ambako alifanya kazi huko kwa miaka 23 kabla ya Mzee Mkapa kumrudisha nnchini kama mshauri wake wa masuala ya uchumi na baadae kumfanya Gavana wa benki kuu.! kinachofanya kumuweka Balali kwenye list hii ni tukio alilolifanya la ukwapuaji kiasi cha Bilioni 164 za kitanzania pale benki kuu! Nafahamu kuna theories nyingi sana kuhusu UFISADI WA EPA, lakini kwa mujibu wa serikali ni kuwa Balali alikula njama yeye binafsi na wale wafanyabiashara wakwakwapua fedha pasipo serikali kujua! kwa maana hiyo BAlali alimpiga changa la macho Waziri Mighiro, raisi, na hata usalama wa taifa! hivi ni binadamu wangapi wana uwezo wa kupiga mtonyo na mchongo mkali kama huu! Balali anaweza.....
 
Itakua na wewe ni mwizi au unafadhili wezi,ndio maana unatetea wezi,siku ukijichanganya kuja kuiba mtaani kwetu tairi linakuhusu!!,chukulia hii kama warning ya kishikaji
We kweli ni mpuuzi kweli,,,Nna uwezo wakukulisha wewe na ukoo wako wote kwa mwaka mfurulizo,,,,mmeona kijana wa watu kapewa vipikipiki na bajaj akili zimewaruka wapumbavu nyinyi
 
Mwenendo wa kesi unauonaje mkuu?Kuna kuachiwa kweli?
Hapana hata ionekane wazi kabisa kuwa hana hatia lakini atabaki na shtaka moja la shambulio toka maungoni na kusababisha ulemavu! Hapa atashtakiwa na jamhuri kwa kuchukua sheria mkononi
 
Una uhakika,,au jamaa kupewa bajaj mbili na pikipiki tano na nyumba roho zimewauma kenge nyinyi,,, MNASHINDWA KUTAMBUA THAMANI YA MACHO NI ZAIDI YA ALIVYOPEWA,,hata kama alikuwa mfadhili wa vibaka,ndio ilikuwa ni haki atobolewe macho,,,acheni roho za kwann
Hata kabla ya kupewa ivo vitu,kuna MTU alisema huyu jamaa(said) anahusika na vitu Vya madili,ukitaka simu ya aina yoyote anakutafutia fasta.
 
Jambo hili ni gumu..huenda huyu nge atakama si yeye ila anamatendo yanafana na hilo tukio..kwann iwe yeye
 
Hata kama yeye alikua ni mwizi adhabu haikua sahihi ikiendelea namna hii tutapoteza watu wengi hata wasio na hatia mfano wale wezi wanaokuibia na kuanza kupiga kelele kuwa wewe uliyeibiwa ndio unayetaka kumuibia,sasa kama tutakua tunachukua hatia mkononi situnaweza kuua watu wasio na hatia.yani mwizi anakuibia afu inabid umuombe msamaha bila hivyo wew ndo unageuka kuwa mwizi
 
Mie nilicheka pale eti Scoprion alikuwa kiongozi wa Dini ya kiislam,duhhhh
Sasa kiongozi analinda BAR?akitoka Bar anaenda Msikitini kusali kisha anarudi kwenye Bar
Hahahaha,haya weeeeeeeee
 
Tangu kuumbwa kwa ulimwengu, kumekuwa na baadhi ya binadamu wachache ambao wamekuwa ni mahili sana kutumia umbumbumbu na udhaifu wa binadamu wenzao kuwadanganya na kujipatia kipato! mara nyingi watu hawa inasemekana wana kiwango kikubwa cha akili na ni wabunifu kupindukia... huwa tunawaita MATAPELI. hawa wapo kuanzia kule kijijini Namtumbo Ruvuma mpaka NYC, marekani! kwa mtazamo wangu wafuatao ni MATAPELI wakubwa zaidi kuwahi kutokea hapa nnchini ambao walitingisha na kuteka hisia za watu..
5. MANYAUNYAU
Huyu jamaa wote tunamfahamu, aliiitikisa sana miaka ya 2006,2007, na 2008! alijigamba kuwa akinywa damu ya paka anapata uwezo wa kimiujiza kufichua wachawi.! alizunguka mitaa karibia yote ya uswahilini hapa Dar, except huko udhunguni masaki n.k (sijui huko hakuna wachawi)! baada ya kuteka hisia za watu vya kutosha akaanza na ziara za mikoani... jamaa akaingiza mkwanja mrefu sana kwa kazi yake hii, nakumbuka miaka ile ya 2008 alinunua RAV 4 flani hivi kali sana, na mjengo wa maana.! sijui kwa sasa amepotelea wapi, inawezekana kazi yake ilikuwa effective wachawi wameisha!!!!!!
4. ALEX MASSAWE
Huyu jamaa ni Tapeli "first class"!! alikuwa anatapeli kuanzia raia wenzake, serikali, mashirika mpaka matajiri wakubwa wakubwa! alitapeli sana watu nyumba, magari, mashamba na hata fedha! Serikali iliangaika sana na huyu jamaa kwa miaka kadhaa lakini hawakufua dafu, mpaka Interpol walipomkamata huko Dubai! inasemekana Jamaa alikuwa anapiga dili zake na watu wazito serikalini na bungeni!! Inasemekana kuna wabunge Watatu kutoka mkoa mmoja wa kaskazini ndio alikuwa anapiga nao sana ishu za madili ya gari za wizi na kusafisha fedha haramu.!
3. DAUDI BALALI
Binafsi nahisi huyu ni moja kati ya watanzania ma-genius zaidi kuwahi kutokea! huyu kipindi anasoma alirushwa sana madarasa kutokana na kiwango kikubwa cha akili hii ikapelekea yeye kusoma elimu ya msingi na sekondari kwa miaka 10 tu!!! akiwa na miaka 18 alijiunga na chuo kikuu cha Howard, marekani ambapo alitunukiwa shahada yake ya kwanza. Akiwa na miaka 25 alitunukiwa PHD na chuo kikuu cha John Hopkins.!! kisha akarudi nchini kuwa mchumi wa benki kuu mwaka 1967. Baadae kidogo akaajiriwa IMF ambako alifanya kazi huko kwa miaka 23 kabla ya Mzee Mkapa kumrudisha nnchini kama mshauri wake wa masuala ya uchumi na baadae kumfanya Gavana wa benki kuu.! kinachofanya kumuweka Balali kwenye list hii ni tukio alilolifanya la ukwapuaji kiasi cha Bilioni 164 za kitanzania pale benki kuu! Nafahamu kuna theories nyingi sana kuhusu UFISADI WA EPA, lakini kwa mujibu wa serikali ni kuwa Balali alikula njama yeye binafsi na wale wafanyabiashara wakwakwapua fedha pasipo serikali kujua! kwa maana hiyo BAlali alimpiga changa la macho Waziri Mighiro, raisi, na hata usalama wa taifa! hivi ni binadamu wangapi wana uwezo wa kupiga mtonyo na mchongo mkali kama huu! Balali anaweza.....
https://www.jamiiforums.com/index.php?threads/647024/
 
Hata kabla ya kupewa ivo vitu,kuna MTU alisema huyu jamaa(said) anahusika na vitu Vya madili,ukitaka simu ya aina yoyote anakutafutia fasta.

Kwaiyo we ulitakaje?awe kula kulala kama wewe,,,,mjini kila mtu na Mipango yake ili mradi usivunje nakuiba, nyi ndio mnaokaa kudiscuss watu vijiweni,hatma yake mnaishia kukaa nyumba zakupanga miaka nenda Rudi, town kuna mishe nyingi zakupata hela bila hata kkununua vitu vya wizi,,,huyo Saidi alikuwa na saloon mbili za kiume,,,na Saloon za kiume ukifungua sehemu yenye movement ya watu,,zinalipa sana tu
 
Kwenye mambo ya uendeshaji kesi kuna kitu kinaitwa character witness.
Hii huwa na nguvu sana kwenye kupunguza adhabu au kushinda kabisa kesi kwa mtuhumiwa.
 
Back
Top Bottom