Singo
JF-Expert Member
- Oct 4, 2010
- 1,208
- 1,154
Kwa kusiiliza maelezo ya aliyetobolewa macho,haioneshi bila shaka kwamba ni SCORPION ndiye amaehusika,kwa sababu anasema huyo mtu anavyomkumbuka ni mfupi kuliko huyo aliyetobolewa na hana mwili mkubwa kuliko wa aliyetobolewa kitu ambacho kinakinzana na uhalisia.Kabla ya kumhukumu mtuhumiwa ambaye ni SCORPION yapasa kufahamu anaweza akawa siyo muhusika kwa aina yoyote na tukio lilompata SAID(aliyetobolewa)
kweli hii mipango miji