Watetezi wa 'scorpion' walikurupuka

Polisi ipo.
 

Mkuu hayajakukuta, mwizi si mtu wa kuhurumiwa hata kidogo.
Wiki mbili zilizopita alikamatwa kibaka hapa kwetu kakomba sandals mlangoni wadau walimwandalia mazingira ya kumuadabisha ila nikamkingia kifua nikiamini atajifunza watu wakanilaumu sana, siku ya tatu yake sandals zangu peke yangu zikaibiwa, nilitamani kupasuka
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Saa 4 usiku buguruni ndo mishemishe zimepamba moto hivi ni kweli Said awe anapigwa na kutolewa macho kwa ule umati wa watu wamwangalie tu? Alafu huyu scorpion kama kibaka mbona hakuchukua chochote kwa saidi?
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mshana Jr. Hili tukio limezidi kunifanya nijue watanzania tu watu wenye uwezo gani kwenye vichwa vyetu. Watu wamejenga kambi mbili... kafanya na anastahili adhabu kali vs hakufanya na atashinda kesi. Mtu ukiamua kuwa neutral na kuhoji kutaka uchunguzi wa kina ufanyike kabla ya hukumu unatukanwa. Kwa kifupi hii kesi ni kesi rahisi sana kuchunguza kama imepata/itapata mpelelezi anayejituma na anayetaka kutafuta ukweli.
 
Ni kweli kabisa mitandao ya kijamii ndio imeleta mikanganyiko mingi lakini kama unavyosema haiko complicated kivile
 
Saa 4 usiku buguruni ndo mishemishe zimepamba moto hivi ni kweli Said awe anapigwa na kutolewa macho kwa ule umati wa watu wamwangalie tu? Alafu huyu scorpion kama kibaka mbona hakuchukua chochote kwa saidi?

Alichukua pesa na mikufu
 

Mkuu;
Hiyo Ni wale wale wenzako wameamua kukuhujumu tu ili waone utasemaje. Hakuna mwizi atakayeponea tundu la sindano athubutu kurudia sehem ile ile.
Pili, Hivi weye unafurahia kibaka aliyeiba kuku, tv screen au viatu tu auliwe au afanywe kilema wakati wadokozi wakubwa waliosoma wanaiba kwa kalam na kujijengea makasri ya kutisha halaf hawaambiwi chochote?? Nadhani, we are not fair.
 
Hahahahahahah ulipigwa kifala mno. Don't trust nobody in this world!
ASANTE Mkuu kwa hiyo ningetoa Bastola wakati mwizi simuoni wala box langu?
km mm nilipigwa kifala mbona jamaa yako Said alitoa kisu na Scorpion akakidaka na kumtumbua macho nani sasa fala.
hayajakukuta Mkuu,
Don't trust nobody in this world!
jamaa yangu mm nimesomea Dar lkn siwezi trust any body ila kupigwa na vibaka kupo
 
hivi watu wametengeneza escrow kwa kalamu wakazidisha na kujumlisha ww wamekupora wapi
sisi tulioibiwa kwa kabali wacheni tuwachome moto
kwanini walikimbia shule kuja kumpiga mdada wa watu na kupora handbag
ingeuliza kuchomwa moto na tauri hadi kufa na kutobolewa macho kupi nafuu ningekuelewa
hapa ni kuwatafuta wanaowafadhili tu ndio komesha yao hawa panyaroad
 
Pole kaka,ingawa imenifanya nicheke kwenye mstari"NA UBABE WANGU NIKASAFISHA NJIA",kugeuka watu walisepa,mimi naona waotetea wezi hawajahi ibiwa pakubwa!!!
Jephta2003 humu ndani nashangaa watu wanawatetea vibaka, yaani pale Kariakoo ukitangulia ukaacha toroli nyuma jamaa wanahamisha box kwenda toroli jingine na papo hapo anabadili fulana ukimuuliza anakushangaa. ni lazima utakaa chini maana ukitoa cha moto ni murder tu
utajikuta unatafuta box ndani ya suruali.
Kwanini hivi vitu mtu usisamehe MUNGU atakulipua na yeye akikutikana ni kutumbuliwa macho,
Juzi Mkurugenzi kamchomolea traffic mguu wa kuku Kazi hana, hasira zimeisha anajuta yupo rumande
 
sizungumzii kuwa haiwezekani ila akili iliotumika kukufanyia suprise ilikuwa akili ndogo mno! Kamwe usikubali kutangulizwa eti mzigo ukufwate nyuma au kumtanguliza mtu mbele halafu aende spidi kukuzidi wewe mpaka akupotee machoni!
 

SIKU UKIIBIWA NDIYO UTAJUA MWIZI ANATAKIWA KUTENDEWA NINI LAKINI KWA SASA ENDELEA NA POROJO AMBAZO HATA KWENYE HIZO DINI ZETU ZOTE HAKUNA LISEMALO UMWACHE MWIZI HAI ILA KWA DINI ZA MAZINGAOMBWE WANAKUAMBIA SABA MARA SABINI MAANA YAKE UIBIWE MARA MIA NNE TISINI ILE YA TISINI NA MOJA SIJUI NAYO USAMEHE AU?
 
Haha haha hahaaaaa umenichekesha sana...... Ukristo sio dini ila ni life style, kuishi kama YESU Kristo Yakobo 1:27
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…