chikutentema
JF-Expert Member
- Dec 10, 2012
- 7,730
- 5,013
Ninaamini hayo ila sishangai nikija kusikia kuwa ni wapinzani wa kisiasa wa ccm, mi sina imani kabisa na siamini kama ndio hao kweli
Huwezi kulazimisha polisi katika kufanya kazi. Kumbuka kila tukio linatokana na mazingira yake. Subiri tu na hao waliomtesa Ulimboka watakamatwa tu. chezea polisi weweNi mtu sana na ninashukuru kwamba watesaji wake wamepatikana ndiyo maana nataka na wale waliohusika kwa Ulimboka nao wakamatwe pia maana hakuna aliye juu ya sheria, wote wakamatwe tumechoka kuonewa kijingajinga namna hii
Unapenda kulamba miguu ya watawala! What a voyeur!Kama habari hii ni ya kweli, tuwapongeze Jeshi la Polisi kwa kuwasaka hao watesaji bila kuchoka
Mkuu, akili za bavicha kila mara zote haziishimkuisakama uvccm hata kama hakuna uhusiano wowote na wanachoandikaThibitisha hili,vinginevyo nakupeleka kw mods.hivi hivi huwa mnaanza halafu mnaamsha hasira za watu na kuchfua jukwaa hili.
tafadhali mkuu, usiamshe hasira zako, bado tunayahitaji meno yetu na macho yetu.Thibitisha hili,vinginevyo nakupeleka kw mods.hivi hivi huwa mnaanza halafu mnaamsha hasira za watu na kuchfua jukwaa hili.
We unalamba miguu ya nani? Ya hawa wazinzi?Unapenda kulamba miguu ya watawala! What a voyeur!
Umeambiwa chanzo cha habari ni gazeti nipashe, hivyo fanya jitihada kupata nakala hiyo usome. Asingeweka source hapo una haki ya kumpopoa kwa mawe.
Pole sana mkuu kama imekugusa.tafadhali mkuu, usiamshe hasira zako, bado tunayahitaji meno yetu na macho yetu.
We ndo umekurupuka mkuuumesoma alichokiandika kabla hujakurupuka kumjibu...
Naona kichwa chako kimejaa makamasi badala ya ubongo! Useless kabisaWe unalamba miguu ya nani? Ya hawa wazinzi?
Dhihaka hiyo
Umeambiwa chanzo cha habari ni gazeti nipashe, hivyo fanya jitihada kupata nakala hiyo usome. Asingeweka source hapo una haki ya kumpopoa kwa mawe.
Huwezi kulazimisha polisi katika kufanya kazi. Kumbuka kila tukio linatokana na mazingira yake. Subiri tu na hao waliomtesa Ulimboka watakamatwa tu. chezea polisi wewe
Duh.. ! Leo hii.... Hivi Ludovick alihojiwa kuhusu hii habari... Au ni nini wantaka kitupite tutakapokuwa busy kuongelea habari ya Kibanada??:A S 39::A S 39::A S 39:
Hata mimi ninahamu sana kusikia kawekwa ndani huyo aliyemtesa dr. Ulimboka, ni kwanini hakamatwi tu?
Ni mtu sana na ninashukuru kwamba watesaji wake wamepatikana ndiyo maana nataka na wale waliohusika kwa Ulimboka nao wakamatwe pia maana hakuna aliye juu ya sheria, wote wakamatwe tumechoka kuonewa kijingajinga namna hii