Watesaji wa Asalom Kibanda wakamatwa

Naona kichwa chako kimejaa makamasi badala ya ubongo! Useless kabisa
Avatar yako inaashiria kuwa wewe ndo umejaza makamasi kwenye kichwa chako. Ndo maana unatumia nguvu kuyazuia yasitoke puani mpaka sura yako inakunjamana
 
Na waliomuua Mwangosi watafikishwa mahakamani? Na waliolipua bomu kanisani Arusha na kwenye mkutano wa Chadema?
Hao waliolipua bomu kanisani watapatikana hata kama itakuwa ni miaka mingi. Mungu atasaidia kuwafichua. Ila wale wa kwenye mkutano wa chadema ningekuwa mimi ndo polisi wala nisingejishughulisha kabisa kuwatafuta kwa maana mbowe anasema kuwa anawajua waliolipua lakini hawataji.
 
acha ubahili mkuu. weka details kidogo, wengine tuko nangulukulu huku, gazeti zinafika baada ya siku 4
Nangulukulu ya wapi hiyo kunakofika gazeti baada ya siku 4?Nangurukulu tunayoijua sisi gazeti zinafika masaa 3 baada ya gazeti kutoka kwani iko center kati ya Dar na LINDI na ni barabarani lazima magari yasimame kabla hayaendelea na safari acha uongo wako wa kigamba gamba
 
Pelekeni uongo mbali huko mnajidai mnaifaham kazi mbona hamkutoa taarifa ya aliyemwekea Dr Slaa kinasa sauti Dodoma?
 
Umeambiwa chanzo cha habari ni gazeti nipashe, hivyo fanya jitihada kupata nakala hiyo usome. Asingeweka source hapo una haki ya kumpopoa kwa mawe.

Amesema yuko mbali na maeneo ambayo magazeti yanapatikana, sasa unapomwambia afanye jitihada kupata nakala, bado hujamsaidia
 
Naona kichwa chako kimejaa makamasi badala ya ubongo! Useless kabisa

Hata hayo MAKAMASI utakua unampendelea.

Unajua wale wanaofikiri kwa kutumia Dk. Didas nina wasiwasi kuna ushirikiano Mkubwa kati ya Dk. Didas yake na Ubongo.
Pengine vile vya kwenye Dk. Didas yake hua vinahamia kichwani. Huyo Kichwa chake kitakua kimejaa SAMADI!!
 
Back
Top Bottom