Watesaji wa Asalom Kibanda wakamatwa

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
46,888
143,983
Watu watatu wanaotuhumiwa kumteka na kumtesa mhariri mkuu wa New Habari Corporation,Absalom Kibanda wamekatwa na jeshi la polisi nchini.

Kamishina wa Upelelezi wa makosa ya Jinai nchini(DCI),Isaya Mngulu amesema upelelezi unaendelea kwani bado wanakusanya ushahidi wa kutosha wa kuwahusisha watuhumiwa hao na tukio hilo kabla ya kuwafikisha mahakamani.

Kwa taarifa zaidi visit:www.ippmedia.com. Then chagua kiswahili.

CHANZO: NIPASHE.
 
uwezi kuvavadua kidogo mkuu manake wengine tunaishi sehemu zisizo na magazeti.
 
Duh.. ! Leo hii.... Hivi Ludovick alihojiwa kuhusu hii habari... Au ni nini wantaka kitupite tutakapokuwa busy kuongelea habari ya Kibanada??:A S 39::A S 39::A S 39:
 
Kama habari hii ni ya kweli, tuwapongeze Jeshi la Polisi kwa kuwasaka hao watesaji bila kuchoka
 
Wata watatu wanaotuhumiwa kumteka na kumtesa mhariri mkuu wa New Habari Corporation,Absalom Kibanda wamekatwa na jeshi la polisi nchini.

CHANZO:NIPASHE.

acha ubahili mkuu. weka details kidogo, wengine tuko nangulukulu huku, gazeti zinafika baada ya siku 4
 
Kwani Kibanda si mtu?

Ni mtu sana na ninashukuru kwamba watesaji wake wamepatikana ndiyo maana nataka na wale waliohusika kwa Ulimboka nao wakamatwe pia maana hakuna aliye juu ya sheria, wote wakamatwe tumechoka kuonewa kijingajinga namna hii
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom