Watendaji wa JamiiForums watembelea hifadhi ya Ngorongoro baada ya kufanya tathmini ya mipango na maandalizi ya mwaka 2024

Nilitarajia kwenye hizo picha mwandishi aonyeshe kwamba kutoka kushoto ni Paw akifuatiwa na ....

Lakini sasa, pamoja na kwamba hamtumii majina halisi, isipokuwa kwa Melo, bado hamtaki tuwajue.

Kwanini? Sasa hizo picha kwetu siyo habari kwa sababu hatujui nani ni nani?
 
Hamna, ww km uliwahi kuwa admin hata group la familia na unaweza kuwa moderate kwa kuwaleftisha kazi umepata 🤣🤣🤣🤣
Kazi kubwa kupiga ban
Sio JF ya sasa, ile ya zamani Mods walikuwa wa kawaida sana aisee, halafu kumbuka JF ya sasa ni Next Level. Mkuu Maxence alishakaa meza moja na Mark Pence ( VP wa Donald Trump wakati ule)
 
Nilisikia Jana Vijana wakisema JF nayo ina Pisi Kali.....Leo hata sikuhitaji kuvaa miwani yangu ya macho kuweza kuwaona 🤗

Hongera Max na Timu yako, you guys are doing incredible, very proud of you 👏👏👏👏👊
Naunga mkono hoja, mimi nimependa ile leggy line ya pisi ile ya kwanza kulia yenye combat ya Chadema!.
Kuna watu tunakwama kuwa ma bosi kwasababu ningekuwa mimi ndio Max, sijui kama kungekuwa na usalama!.

Ndipo nimegundua ukiwa mtu hatari, hupewi ubosi utaharibu!, matokeo yake unaishia kuwa ni mtu wa kutumwa tumwa tuu, hautumi!.

Big up sana Mkuu @Maxence and the entire JF team, andaeni jf members retreat local and foreign, tutalipia
P
 
Back
Top Bottom