.Nilikuwa nikifikiri pingu zinapatikana Polisi tu, lakini kumbe hata "watu wengine" wanaweza kuwa nazo!
"Watekaji" waliomteka marehemu Ally Kibao na hatimaye "kumpoteza", walikuwa na pingu. Lakini Jeshi la Polisi lilikana kuwatambua, kwa hiyo "hawakuwa" askari Polisi.
Waliojaribu kumteka Deogratius Tarimo nao walikuwa na pingu, lakini Jeshi la Polisi limedai haliwatambui!
Ikiwa hawakuwa askari wa Jeshi la Polisi, walitoa wapi pingu? Siku hizi zinauzwa "Kariakoo"?
Usishangae kusikia "hawajulikani" waliko.
Si sabb ya unene wa mwili vimefanya wamuache..mbona walishamuweka pingu mkono mmoja? Mungu amempa ujasiri na nguvu kupambana nao..ukiwa kwenye hatari ya namna hii unaweza kupata nguvu ukawashinda hata watu 4 wenye nguvu kukuzidi, mwili umeumbwa kujilinda wakati wa hatari bila kujali umbo ulilo nalo.Hujaelewa mkuu hebu soma tena.
Angekuwa kimbaumbau kama mimi sasa hivi si tungekuwa tunaongea mengine?
Sidhani kama kuna ulazima wa kusubiri hadi serikali kutoa tamko. Ni raia wenyewe tu kujiongeza na kufanya kile wakifanyacho kwa vibaka wanaokamatwa na kuchomwa moto. Hao wakamataji wasiofuata taratibu sahihi za ukamataji raia waseme nao kwa vitendo kama wafanyavyo kwa vibaka ili kukomesha tabia hii iliyokwishaota mizizi.Serikali itoe tamko rasmi kwamba askari yeyote asiye na uniform iwe halali ya wananchi kwasababu atakuwa amekiuka sheria na taratibu za kazi. Tumechoka kusikia UTEKAJI NA MAUAJI.
Wana hadi vituo na selo kabisa kiufupi wapo kamili gado hawajaja kuchezaUnashangaa pingu?
Wana hadi gari za PT
Siku hizi gari za jeshi zinaandikwa "TANZANIA MILITARY" hawataki. tena jina la JWTZUnashangaa pingu?
Wana hadi gari za PT
Mm mbona ninazo geto hapa. Hizi hapomata gani we mzinzi nikanunue sasa hivi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Funzo kubwa nililopata
Ni kula sana tunenepe nimeona faida zake
Tatizo lao wanafikiri wananchi wote ni form four failure kama wao.Nilikuwa nikifikiri pingu zinapatikana Polisi tu, lakini kumbe hata "watu wengine" wanaweza kuwa nazo!
"Watekaji" waliomteka marehemu Ally Kibao na hatimaye "kumpoteza", walikuwa na pingu. Lakini Jeshi la Polisi lilikana kuwatambua, kwa hiyo "hawakuwa" askari Polisi.
Waliojaribu kumteka Deogratius Tarimo nao walikuwa na pingu, lakini Jeshi la Polisi limedai haliwatambui!
Ikiwa hawakuwa askari wa Jeshi la Polisi, walitoa wapi pingu? Siku hizi zinauzwa "Kariakoo"?
Dunia imechafuka majirani kenya nao wanadai saivi mtu anakamatwa (kutekwa) kabisa mchana na hamumuoni tenaBadala ushangae watu wana smg 56typ ya polisi vilevile pamoja chines pistol za polisi..
Watu wako na I'd za polisi watu wanamilik kuanzia Og jungle comofleg kombat......
Achana na radio call 😂
Sahihi lazima inawajua, lakini kwanini wananchi tufanyiwe haya ikiwa ni nchi yenye misingi ya sheria ambayo wanadai kuisimamiaJiongeze Mkuu!!
Unaamini kuwa serikali haijui watekaji ni kina nani!?
Unaamini kuwa hatuko salama kiasi hicho kuwa Serikali haijui watesi wetu!!!?
Serikali ndio WATEKAJI WENYEWE!!