wateja elfu 5 wahama AIRTEL ONYOOOO

wateja elfu 5 wahama AIRTEL ONYOOOO

Janja PORI

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2011
Posts
825
Reaction score
247
Airtel kampuni inaheshimika ila kwa siku mbili wameanza kuzingua internet.
kwanza huduma ya 2500 ya net wamefunga hii imepelekea wateja elfu tano kuhama kwa siku je wiki
pili siku nzima internet yenunazingua hebu fanyani mambo
onyoo mkishindwa kutupa huduma nzuri tutahama na tutaenda TCRA
 
Basi nauli imepanda baada ya kuona abiria tumejaa sasa tumeamua kurudi kwenye bajaji na bito!
 
tunahama hawajatoa reason yoyote hahaha.
 
Hata mimi ninahama hili bundle la mwisho la 2500 nililoweka last week. Bye bye airtel
 
airtel kwaherini na buriani kama tigo,spidi yenu ilikuwa ndogo lakini nilivumilia kwa sababu ya gharama.
 
hata nimi mkataba na airtel ndo mwisho...Hama airtel
 
mi nimehama rasmi jana,nishavuta line yangu ya zantel nakula net,acha wabaki na internet yao,soko huria bana!nawasihi na nyie muhame ili wapate somo
 
ni kweli wanachaji elfu kumi badala ya elfu 2500 kwa MB 400?
 
Back
Top Bottom